Elections 2010 CHADEMA iwaachilie walioshinda kura za maoni wagombee

Status
Not open for further replies.
I agree with you MM...

Ndiyo maana huwa nasema CHADEMA wamefanya nini ili wastahili dhamana ya kupewa Taifa..?
Huku wengine wakisonga mbele nyie mtabaki nyuma na maswali yenu hadi ukamilifu wa dahari.
 
This is shocking,
Sidhani kama ni busara kuwaengua hawa wakinamama...kama hawana tuhuma zozote zilizopelekea ushindi wao basi sioni sababu ya kuwaengua...nilishawahi kuonya dhamira ya wanaoshindwa CCM na kuhamia upinzani na kuomba kugombea...kama watapewa nafasi wagombee basi hakuna tofauti na CCM ambapo wote dhamira yao ni kujipatia nafasi za kuongoza na kujinufaisha binafsi. Hapo nahisi watu wengi watajiuliza mara mbili mbili juu ya nani wampe kura oktoba..kama Chadema nako ni hivi cjui TLP,DP na kwingine so nahisi CCM bado watasumbua kwa miaka mingi ijayo kama watu watakatishwa tamaa namna hii.
 

Kitila my bro unapotosha umma.

Kilombero hakukuwa na rufaa bali malalamiko na kwa mujibu wa katiba yetu ni kuwa mgombea ni lazima akate rufaa.

Sekretariet iliruhusu malalamiko yale yapelekwe Kamati Kuu. Kamati Kuu ilijadili na kuonekana wazi kuwa Nilishinda kwa suhidni dhahiri kwa kuwa hata malalamiko yenyewe hayakuwa na mashiko. Rejea mapendekezo ya Sekretariet kwa Kamari Kuu.

Naona wakati ajenda hii inajadiliwa labda ulitoka au hukuwa na interest ndio maana hukuifuatilia. Nilipoingia ndani baada ya kutolewa ndani ya kikao wakato ajenda yetu inajadiliwa niliambiwa kuwa imeonekana dhaihiri kwamba nimeshinda kihalali kwa mujibu wa katiba ila kuna mgombea mwingine wa tatu ambaye ni wakili na laipendekezwa na Lissu. Nikaambiwa kuwa nitafuatwa na wazee wa chama kwaajili ya kuweka mambo sawa ikiwa ni pamoja na kuvunja makundi kati yangu na mpinzani wangu Susan Kiwanga na viongozi wetu wa wilaya.

Sikufuatwa, siku moja ikapita sikufuatwa nikaamua kumfuata Kaimu Katibu Mkuu Zitto kumuuliza kuhusu hatima ya Kilombero akaniambia kama nilivyoelezwa awali lakini akaongeza kuwa anashangaa hata huyo wakili hajulikani kama ameshajza fomu ama la. Nikiwa miongoni mwa waliteuliwa kutafuta wadhamini wa mgombea Urais nililazamika kuondoka siku ya ijumaa ili kuwahi kufanyika kwa zoezi.

Nikaondoka zangu kuja Kilombero, nikafanya kazi niliyotumwa huyku nikiwa sina majibu yakuwaeleza wapiga kura wangu. Nikiwa huku niliendelea kufuatilia bila kupata majibu ya kuridhisha. Hatimaye Mrema John akaniambia kwamba amesikia tetesi kwamba ngome (Ngome ni Kikosi cha kampeni kitakachobaki Makao Makuu na kuratibu shughuli zote za kampeni kikiongozwa na Prof Baregu na Mnyika Katibu wake, imeniteua ikumbukwe kuwa Mrema sio mjumbe wa ngome hivyo ikabaki kuwa ni tetesi.

Nikampigia simu Mnyika akiwa kama Katibu wa ngome siku ya jumapili majira ya jioni akanimabia kuwa tutapewa majibu ama jumapili usiku au jumatatu asubuhi na mapema.Sikupata majibu yeyote toka Makao Makuu,wakati huo imebaki siku moja tu ya maandalizi kabla ya siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu.Nilivyoona hivyo nikaahirisha zoezi langu la kurudi Dar nikamtuma Dereva aziwahishe fomu za Dr Slaa siku ya jumatatu aliondoka huku jioni.

Mimi jana jumanne nikajichukulia zangu fomu biula kupewa taarifa rasmi za makao makuu,nikaanza zoezi la kuijaza fomu hiyo.Jana majira ya jioni nikampgia simu Mnyika kumuuliza jinsi ya kujaza kuna kipengele kilikuwa sijakielewa vizuri,akanielekeza hakuniambia chochote.L eo asubuhi nikamchokoza kwa kumuuliza hivi Kilombero mgombea nini nani?akanimbia wewe si umeshchukua fomu,basi endelea na zoezi la kuikamilisha,nikamwambia ninataka taarifa za kiofisi.,rafiki yangu Mnyika akanikatia simu.

Miminimeshajaza fomu yangu vizuri kabisa,natarjia kuirudisha leo muda mfupi kuanzia sasa.Namsubiri papaa Mteketa(Mgombea wa CCM) nione mbwembwe zake halfu mimi narudisha kwa mapozi kabisa..

Habari ndio hiyo..
 


Dada yangu mpendwa Regia! Mambo ya ndani sana haya kwanini msimalize kwenye vikao hapa unamwaga mchele kwenye kuku wengi.

Ni ushauri tu

Mch Masa K
 
Dada yangu mpendwa Regia! Mambo ya ndani sana haya kwanini msimalize kwenye vikao hapa unamwaga mchele kwenye kuku wengi.

Ni ushauri tu

Mch Masa K

Sidhani kama kuna cha ajabu hapo,au chakuficha hapo.Nilikuwa naweka vitu wazi,hakuna cha kuficha hapo....
 
Dada yangu mpendwa Regia! Mambo ya ndani sana haya kwanini msimalize kwenye vikao hapa unamwaga mchele kwenye kuku wengi.

Ni ushauri tu

Mch Masa K

Hata mimi nimeshindwa hata kushangaa kama ndiyo hivi mhhhh.
 

Unlike wengine waliokulaumu kwa kuanika kile wanachofikiri mambo ya ndani, mimi sikulaumu kwa hilo, you have a right to defend yourself and clarify things , even though you could have done the same by PMing Kitila and asking him to correct his post instead of getting into an unnecessary brouhaha of "he said, she said", not a good look, no diplomacy and tact at all, all you CHADEMA peeps look confused now.The more transparent you (Regia) are the more you are making my point that you are tactless and underqualified.

Kwa nini Mnyika anamdiss huyu dada? Nafikiri kuna watu CHADEMA washaanza kuliona hili ndio maama Tundu Lissu kashaanza kupendekeza mtu mwingine. You gotta ask yourself why would that lawyerly mind do that ? Did he see the same things Kiranga saw in Regia ? Namely incompetence, inexposure and underqualification?

I just wished you knew how to use paragraphs, capitalization and proper punctuation. Some may regard these as small things but they could be the difference between people reading your posts or deeming you a semi-literate nincompoop who cannot follow any protocol and question your ability to follow complex parliamentary rules if you cannot follow writing simple rules.

CHADEMA, this woman is a loose canon, she seems very sensitive or even emotionally unstable. Speaking of things loose it is said that loose lips sinks ships. Do you really want your ship to sink now ?

Anapoficha anaficha kila kitu mpaka jina lake na jimbo analogombea, anapoanika anaanika kila kitu, mpaka vitu vingine ambavyo havitakiwi kuanikwa nje, no sense of proportion or perspective at all. I hope people will begin to see where my objection was coming from all along.

Don't never say Kiranga didn't warn y'all. Dalili ya mvua mawingu.
 

Kijana K

Huachi kunishangaza na analytical skill yako iko juu ukitulia......thank you buddy. Wangemalizana wao kwa wao sasa hii inaleta picha tofauti.
 
Mkuu kuna vitu vingine Common Sense should Prevail. Which might not be common to all
sure kuna vitu vya chumbani hata kama ni vizuri kiasi gani huwezi kuvianika subuleni, labda alivyosema Regia si vya chumbani kwa chadema.
 
Duh! Imebidi nicheke aisee maana naona Regia hakatizi kwa Kiranga......
 
huh ............regia umeshaifuta msg lakini watu wameshai quote ........bora hata ungeibakisha. maana sasa inaonyesha hujiamini na maamuzi yako tu.

kwa hali hii...............kama kilombero imekula kwao!
 
Mwanakijiji,
tuwasiliane 0757306396
 
Hehehehe Kiranga bana.
Sasa ww msimamo wako upi? Mpendazoe apite?

Ukinifuatilia vizuri utajua sipendi mamluki, na ninacho advocate ni uongozi wa juu kuweza hata ku veto mtu kama Mpendazoe hata kama angepata popular support ya wanachama kwenye primaries (ambayo hajapata by the way).

This way, uongozi wa juu ukiona mtu kama Regia ni a ticking timebomb, uwe na uhuru wa kuondoa jina lake, uongozi wa juu usilazimishwe na popular support ndani ya chama. What is leadership if one does not have the actual mandate to lead ? What is a party if the party members can't trust it's leadership to look out for it's best interests?

Such party members are better off without a party at all like Kiranga.
 
huh ............regia umeshaifuta msg lakini watu wameshai quote ........bora hata ungeibakisha. maana sasa inaonyesha hujiamini na maamuzi yako tu.

kwa hali hii...............kama kilombero imekula kwao!

Yale yale niliyosema, tactless.

Yaani mtu hata hajui kwamba watu wakishakamata post na kui quote, you might as well leave your post intact, kwa sababu ukiifuta utaonekana unatafuta convenience, huna msimamo, hujiamini na si muungwana. Hususan kama umejitia kuwa unapologetic about it. Mtu fulani wa kufoji foji vitu tu ili kupata convenience, bila hata kuwa na smarts za kuangalia tracks zako zikoje.

Mimi nilishasema hapa exposure ndogo, mtu anashindwa tact katika dynamics za JF ataweza kucheza na state apparatus na machinery za kina Kingunge, Chiligati and them ndani ya mjengo ?
 
mmmh kama Ms Regia anaendeshwa na emotions hivi.



tatizo la watanzania hatuna tabia ya kuambiana ukweli.............na ukiambiwa ukweli unaweza ukaona watu wanakuonea, lakini Ms Regia angefanya cha maana kama angesikiliza ushauri wa watu wanaomkosoa zaidi ya wale wanaomsifu.

hakuna mtu 'pure' japo kama tungependa kufikiria kuwa tuko hivyo.............kama mwanasiasa unatakiwa uwe makini zaidi ya wengine wa umri yako au walioko kwenye nafasi kama yako.

jaribu kuzijua weakness zako na kutafutia ufumbuzi

ikiwa kuzidiwa na emotions ni tatizo kwako,...........jaribu kupata mtaalamu akufunze namna ya kukabiliana na tatizo hilo
 

Noted......MUNGU akubariki sana..
 

Ubarikiwe sana..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…