Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkandara unaweza kuiweka dream cabinet ya CHADEMA, tuseme wamepewa nchi leo, not that CCM ni wazuri hivyo, let us say unataka kuonyesha CHADEMA wana team, unaweza kuweka mawaziri na manaibu wao hapa just for he sake of argument ?
This is a genuine question, I am genuinely examining things. Inawezekana wapo ila wananchi hatuwajui.
Strictly CHADEMA members au hata wa kutoka vyama vingine kama wafanyavyo Marekani...na kwingineko?