Nakupinga ktk mengi lakini hili mimi pia nakuunga mkono.
Regia hakuandika at its status kama Mbunge mtarajiwa ,ameongea into detail maongezi yake na viongozi wake unnecessary,kam attack Kitila inaonyesha katika kujiweka asomeke vema hapa amejiaribia yeye na chama.
Hebu wewe mwenyewe jaribu kuona umeelewa nini toka kwa maneno ya Regia, of coarse yako disturbining nikiwa na maana hata kama haku maanisha tulivyo elewa wengine basi yanafanya tuwe na tasfiri nyingi ,jambo ambalo si jema kwake na chama.Ingawa hatakuwepo walimuelewa sawia ,ila kama kiongozi ni kuchagua maneno kwa makini sana yasichanganye audiance yako hasa unapoandika kwa kuwa wakuna tone .
Haina maana hata ukiongea ukweli halafu huo ukweli ukawabomoa.
Nakutakia mema kama utakuwa ndio mgombea ubunge wa chadema kama ulivyochaguliwa,hope still you have support from most of us.
Katika kipindi hiki hakuna tofauti ya Regia kada wa CHADEMA, Regia binafsi na Regia mgombea ubunge.Kitu kikiwa public all these three roll into one, especially in this context.
Mimi nilichoelewaa ni kwamba Regia ni naive, inexposed, hajui nini cha kuwasiliana na wenzake chamani na nini cha kuanika JF, ni potential train wreck, anaweza kusababisha ugomvi usio lazima kwa kukosa tact, anafikiri kila kitu ni honky dory hata kama watu wanamdiss kumzungusha na kumkatia simu, hawezi kusoma alama za nyakati kwamba kuna wengi CHADEMA washaanza kumshtukia kwamba hafai. Na yeye kwa kuleta vineno neno vya ndani ya chama hapa na kujifanya muwazi ndiyo kwanza anawapa ammunition. Jambo la kuwa defused na a simple phone call kwa Kitila kumwambia abadilishe vitu fulani kwenye post limegeuka kuwa a confrontantional issue, mtu kabla hujaongea naye na kujua kwa nini kaandika vile ushaform conclusions na kuzipost online "Kitila hakuwa na interest au alikuwa nje" "anapotosha watu" etc, very tactless and undiplomatic language, mtu ambaye hawezi kukaa na watu tu ndiye anayeweza kutoa lugha hizi, na mtu kama Kitila anatakiwa kuwa very easygoing kumchukulia "huyu demu mchovu hakumaanisha alichokisema" na kumsale, lakini kama anakutana na hotheads mtu anaona kawa disrespected tayari mnaanza beef katika chama kabla ya kuanza kampeni.
Ni yale yale niliyosema, tactless,no experience, no diplomacy, no reflection at all, vitu vinafanywa kwa emotions.Halafu nyemela nyemela nyingii, umeandika kitu, watu wamekwambia umechemsha, unakuja kusema ooh sijachemsha mimi muwazi na ndicho nilitaka kusema, sawa.He, hapo hapo unaenda kufuta ulichosema, which is which sasa wewe muwazi unajiamini au una backtrack ?
Sasa hata tuliokuwa hatujui kwamba Tundu Lissu kamshtukia kwamba bomu tushajua.Na mimi siezi kumlaumu Tundu Lissu, kwa sababu probably kaona the same thing nilichoona mimi. Kwamba hapa hamna mgombea watu wanacheza mark time tu.