Elections 2010 CHADEMA iwaachilie walioshinda kura za maoni wagombee

Status
Not open for further replies.
Kiranga,

Lakini coach wa simba akianza kuishauri yanga impange nani na nani imtose "katika context ya kuongelea mpira kwa ujumla" atakuwa hafanyi unachosema hapo juu.
Context ya Kiranga hapa ni sawa na kocha wa Yanga kumwambia kocha wa Simba asiwasajili waliotemwa Yanga eti kwa vile wamefukuzwa Yanga au wamechuja. Na mimi namwambia kazi ya kujua ni wachezaji gani wamechuja ni ya Kocha wa Simba wala hategemei kuambiwa na mpinzani wake simple.

Tukirudi upande wa vyama, Chadema haitegemei iambiwe na CCM (incl. wapenzi) ni wanachama gani iwachukue na wakati gani iwachukue, i think this is simple and clear.
 
Kwa nini uongelee mfano wa Zambia tu na wala sio mfano wa South Africa au Argentina/Brazil? Nadhani chaguzi zimefanyika sehemu kibao tu duniani na wapinzani walipopewa power walifanya great.

Umefikiria hiyo pande pia?

You don't judge the strength of a chain by it's strongets link, but rather by it's weakest link.
 
Context ya Kiranga hapa ni sawa na kocha wa Yanga kumwambia kocha wa Simba asiwasajili waliotemwa Yanga eti kwa vile wamefukuzwa Yanga au wamechuja. Na mimi namwambia kazi ya kujua ni wachezaji gani wamechuja ni ya Kocha wa Simba wala hategemei kuambiwa na mpinzani wake simple.

Tukirudi upande wa vyama, Chadema haitegemei iambiwe na CCM (incl. wapenzi) ni wanachama gani iwachukue na wakati gani iwachukue, i think this is simple and clear.

Mimi sina chama wala affiliation yoyote na organization yoyote ya kisiasa, kwa hiyo mfano wako hau apply kwangu.
 
Kiranga

Unadai wewe huishauri Chadema ,inaoneka unaandika sana mpaka unasahau heading ya hii thread ebu rudia kusoma.

Heading inasema

[/QUOTE]CHADEMA iwaachilie walioshinda kura za maoni wagombee[/QUOTE]

Sijaiandika mimi, na wala haina maana kila kitakachoandikwa ni ushauri kwa CHADEMA, wengine tunatoa positions zetu tu, na wala hatujioni kwamba tuko qualified kushauri CHADEMA. Sasa nikisema "this does not make sense to me, and I would do this that way" wewe unaweza kuliangalia klama ushauri wangu kwa CHADEMA, wakati mimi natoa observations zangu tu.

Kuna watu wanasema kuwa fulani kasoma mpaka kawa vile(kinda chizi) ana akili yule.Ukweli ni kuwa uwezo wa kichwa chake ni mdogo yeye kaki feed mambo mengi.

Haya mengine matusi ya reja reja sitayakuza zaidi.

So ww unasema ukishauri chadema kwa kuwa hujuhi uko kwenye thread gani,au ni upotoshaji kimakusudi chagua upigwe ngumi gani ya kushoto au kulia ahaaaaaaa.

"ukishauri" "hujuhi" get your swahili right first, wewe hata kiswahili hujui unategemea unaweza kuelewa kwamba mtu kuchangia thread hii si lazima awe anatoa ushauri kwa CHADEMA ? Unaelewa tofauti ya critique na ushauri wewe ?
 
You don't judge the strength of a chain by it's strongets link, but rather by it's weakest link.

utamaliza methali na misemo kazi mnayo ,wengine hapa hatuna hata hiyo kadi ya chedema ila mtakoma na sisi .

Wewe kweli unaweza leta mifano mbuzi hiyo Zambia ,ukiulizwa statistic inasemaje sehemu zingine duniani unaleta methali tena kwa kingereza ahaaa ,wenyewe mnaita defending mechanism ,but that is no more.
Hata kama mko wengi mnatumia jina moja kama sauti za Umeme(I'm sorry about your dad political accident) au sauti za kijiji tutadeal na nyie perpendicular.
 
Big difference,

Kwa mfano, watu wa higher level katika chama kwa kutumia intelligence network yao wanaweza kujua mambo mabaya ya mgombea ambayo wanachama wa kawaida hawayajui, na labda hayawezi kuthibitishwa kirahisi na kwa hiyo hayawezi kusemwa wazi. Kukipa chama uwezo wa ku veto watu kutahakikisha chama kina uwezo wa kumuondoa mtu ambaye anajulikana kuwa na scandals fulani hatari kwa stability ya chama ambazo hazijulikani kwa wanachama wa kawaida. Lakini ukiwapa wanachama wa kawaida uwezo wa kuamua moja kwa moja kwa kutumia popular vote, unaweza kabisa kujikuta una mgombea gendaeka. Kwa hiyo big difference.

Kwa hiyo hapa wewe unapoongelea chama, unamaanisha viongozi wa vyama na sio wanachama.

Chukulia mfano wa Malecela alivyokuwa anawa manipulate CCM, kama CCM isingekuwa na mechanism ya kum stop Malecela alikuwa anaweza hata kuununua urais, lakini wajanja wa CCM kina Nyerere wakatumia influence kwenye chama kumuondoa. Now unaweza kupinga hili kwa kusema kwamba ni counter-democratic means, lakini democracy inaweza kufanya system iwe gullible pia, hapo ndipo unahitaji means za kuvipa vyama autonomy.

Unaongelea viongozi wa chama again

Position yangu ilikuwa CHADEMA wasimpe Shibuda nafasi ya kugombea kiti sasa hivi, kwa sababu hajajiprove chamani, hajakaa na watu kueleweka chamani etc. Kujiingiza kwake CHADEMA mara tu baada ya kuondoka CCM (If at all that is the case) kunaonyesha kwamba anapenda ubunge zaidi ya anavyoipenda CHADEMA, if anything kama anataka angojee 2015 wakati atakuwa kashaji prove chamani.

Bado unaongelea viongozi wa chama

Nikaongeza kumpa nafasi sasa hivi ni CHADEMA kujionyesha hakina principles wala wagombea na kipo desperate kuchukua makapi yeyote yaliyoshindwa CCM huko.

Sasa umethibitisha kabisa.... ukiongelea uhuru wa vyama unamaanisha viongozi wa vyama

Position yangu ni kwamba chama ni lazima kiwe na autonomy, hii ndiyo relevancy ya chama, as much as I believe in grassroot involvement and the bottom up system, chama pia -ngazi za juu- kinatakiwa kuonyesha leadership kwa wananchama wake, kuwapa muongozo. Kama tunataka wanachama ndio wawe wanaamua kila kitu itakuwa anarchy, wala si democracy.

Kama chama -uongozi wa juu- kina abdicate kila kitu kwa wanachama, then chama kinakosa relevancy, na we might as well abandon parties.

The idea is, if you have legitimate leadership, the leadership will operate with the interest of the members. And if you don't believe in this leadership, you vote it off or get off the ship. Hii ndiyo Msuya alisema, huwezi kusema wewe mkatoliki halafu humuamini papa, utakuwa umeanzisha faction nyingine.

Again ... viongozi wa vyama

Sina tofauti significant, kote nataka chama kiwe na autonomy, uongozi wa juu wa chama usiwe forced kufanya maamuzi, uwe na uwezo wa kuamua, usiwe forced na wanachama.Ila ningependa kuona uongozi wa juu haumpi mtu kama Shibuda nafasi ya kugombea ubunge right away.

My philosophy is simple, vipe vyama meno, au viue usiwe na vyama kabisa.

Hapa ndipo huwa nasema kuwa unajichanganya sana, Point zako zote hapo juu unaongelea nguvu ya viongozi wa chama na kisha unasema kuwa huoni tofauti yoyote significant.

Tofauti ni kubwa sana, maamuzi ya wanachama wa kawaida (grass root) v's viongozi wa chama.

So far, wewe unapenda viongozi waamue, na kama hiyo ni case, muda wote katika hii thread umekuwa unaipondea chadema kwa kosa gani vile?

According to Mwanakijiji, viongozi wa chadema wanataka kumtoa Regia na kumweka mtu mwingine, je hiki sicho wewe unacho-advocate hapo juu (kuvipa vyama meno)?

Sasa mbona unaipondea chadema badala ya kuipongeza kwa kufanya kile unachotaka?
 
utamaliza methali na misemo kazi mnayo ,wengine hapa hatuna hata hiyo kadi ya chedema ila mtakoma na sisi .

Wewe kweli unaweza leta mifano mbuzi hiyo Zambia ,ukiulizwa statistic inasemaje sehemu zingine duniani unaleta methali tena kwa kingereza ahaaa ,wenyewe mnaita defending mechanism ,but that is no more.
Hata kama mko wengi mnatumia jina moja kama sauti za Umeme(I'm sorry about your dad political accident) au sauti za kijiji tutadeal na nyie perpendicular.

Angalieni huyu ananifananisha na FMES, pathetic.

Wewe unataka kujenga political system mdhubuti halafu unajenga situations zako kutokana na best case scenarios ?

Unaambiwa "Expect the best, prepare for the worst" kwa hiyo unapo prepare for the worst hata hizo worst case scenarios kama za Zambia inabidi tuziangalie.
 
You don't judge the strength of a chain by it's strongets link, but rather by it's weakest link.

But also (more also ... I should say), you don't use the weaker(est) of the chains to lower an anchor
 
Big difference,

Kwa mfano, watu wa higher level katika chama kwa kutumia intelligence network yao wanaweza kujua mambo mabaya ya mgombea ambayo wanachama wa kawaida hawayajui, na labda hayawezi kuthibitishwa kirahisi na kwa hiyo hayawezi kusemwa wazi. Kukipa chama uwezo wa ku veto watu kutahakikisha chama kina uwezo wa kumuondoa mtu ambaye anajulikana kuwa na scandals fulani hatari kwa stability ya chama ambazo hazijulikani kwa wanachama wa kawaida. Lakini ukiwapa wanachama wa kawaida uwezo wa kuamua moja kwa moja kwa kutumia popular vote, unaweza kabisa kujikuta una mgombea gendaeka. Kwa hiyo big difference.
Kiranga

Huwa nakuambia siku zote tatizo lako ni kuandika mambo mengi baadaye unasahau ulichoandika. Mwanzo ulikuwa unapinga Kamati kuu ya Chadema kuwachagulia wagombea, sasa unasema Higher level authority ina uwezo wa kuchagua mgombea strong kwa vile ina network pana tofauti na wanachama wa kawaida.

Sioni ni kitu gani ulikuwa unawapinga Chadema kwa kuwaweka kina Mpendazoe imetumia hiyo hiyo intelligence network unayoisema. Naona hapa tutakuwa tunazunguka palepale alimradi tunajaza page, Good Bye.
 
Angalieni huyu ananifananisha na FMES, pathetic.

Wewe unataka kujenga political system mdhubuti halafu unajenga situations zako kutokana na best case scenarios ?

Unaambiwa "Expect the best, prepare for the worst" kwa hiyo unapo prepare for the worst hata hizo worst case scenarios kama za Zambia inabidi tuziangalie.

Nimependa neno lake ... tuziangalie. Yes, tuziangalie tu na sio tuzitumie kama msingi muhimu wa maamuzi yetu.

Eti kwa vile Zambia walichemsha na Chiluba, basi wapinzani wote duniani wasichaguliwe kwa vile Chiluba (poor Chiluba) alichemsha?!!!

Kiranga, are you serious?
 
Kiranga

Huwa nakuambia siku zote tatizo lako ni kuandika mambo mengi baadaye unasahau ulichoandika. Mwanzo ulikuwa unapinga Kamati kuu ya Chadema kuwachagulia wagombea, sasa unasema Higher level authority ina uwezo wa kuchagua mgombea strong kwa vile ina network pana tofauti na wanachama wa kawaida.

Sioni ni kitu gani ulikuwa unawapinga Chadema kwa kuwaweka kina Mpendazoe imetumia hiyo hiyo intelligence network unayoisema. Naona hapa tutakuwa tunazunguka palepale alimradi tunajaza page, Good Bye.

Luteni,

Good observation... now you see a reason why I dont attend or cra(u)sh Kiranga's party. Anaandika mambo mengi sana na hata anasahau postion(s) yake (zake). He is all over the map mpaka inakuwa kazi kweli kuendeleza mjadala.

Kweli kabisa, kwenye thread moja anataka viongozi wa vyama wamkatae mgombea (with passion) na kisha kwenye thread nyingine, anapondea chama kwa kumkataa mgombea (with equal passion).

Kitu kimoja kinachoanza kuonekana hapa ni kuwa, Kiranga haipendi chadema. Ingawa atatumia kila aina ya excuse hapa lakini intensity yake kwenye anything ambacho ni anti-chadema huwa ni kubwa mno kulinganisha vingine vingi hapa.

Hata hivyo, ushauri wake ni mzuri so natumaini viongozi wa chadema wanamsoma na kuutilia maanani.
 
Kwa hiyo hapa wewe unapoongelea chama, unamaanisha viongozi wa vyama na sio wanachama.

Unaongelea viongozi wa chama again

Bado unaongelea viongozi wa chama

Sasa umethibitisha kabisa.... ukiongelea uhuru wa vyama unamaanisha viongozi wa vyama

Again ... viongozi wa vyama

Hapa ndipo huwa nasema kuwa unajichanganya sana, Point zako zote hapo juu unaongelea nguvu ya viongozi wa chama na kisha unasema kuwa huoni tofauti yoyote significant.

Tofauti ni kubwa sana, maamuzi ya wanachama wa kawaida (grass root) v's viongozi wa chama.

So far, wewe unapenda viongozi waamue, na kama hiyo ni case, muda wote katika hii thread umekuwa unaipondea chadema kwa kosa gani vile?

According to Mwanakijiji, viongozi wa chadema wanataka kumtoa Regia na kumweka mtu mwingine, je hiki sicho wewe unacho-advocate hapo juu (kuvipa vyama meno)?

Sasa mbona unaipondea chadema badala ya kuipongeza kwa kufanya kile unachotaka?

Mbona nishaongea kwamba hakuna chama kisicho uongozi, hakuna chama kisicho na trust katika uongozi, hata hao wabunge mnaotaka kuwachagua nao ni wawakilishi.Kama huamini katika uwakilishi na unataka wanachama waamue kila kitu, ondoa hata hilo bunge basi, kwa nini unapeleka watu kuwakilisha wengine? Si turudi kwenye democracy ya Athens, nchi nzima ikutane pale Dodoma kuamua mambo ya nchi, tuone kama itakuwa democracy au anarchy.

Nishasema, uongozi una wajibu wa kutetea interests za wanachama, na wanachama wana wajibu wa ku pressure uongozi kufanya hivyo.Zaidi ya hapo, mkiona uongozi hautekelezi wajibu huu, mna u vote off, au mnajiondoa na kuanzisha chama kingine.

Lakini there is no point ya kuwa na chama halafu wanachama totally hawana trust na uongozi wao, wanataka kufanya kila kitu wenyewe. Inafikia wakati, for the sake of chama kuweza kufanya vitu smoothly, the best informed people at the top of the party, wanafanya maamuzi kwa niaba ya wanachama wote. This is totally acceptable as long as there is reasonable transparency.

Tukitaka kila kitu kifanywe na wanachama wote itakuwa anarchy na vyama vitapoteza maana yake.

Nnajua tatizo ni kwamba tumekuwa stung vibaya sana kiasi kwamba hakuna kuaminiana kabisa, well, kama huamini mtu kuwa kama mimi, usiingie katika chama cha siasa.Ukishaingia katika chama cha siasa maana yake unaamini uongozi wa chama.

Huwezi kusema wewe mkatoliki, halafu ukasema maamuzi ya papa na conclave yake yatoke kwa waumini, utakuwa huelewi maana ya kuwa mkatoliki. Kama vipi uwe mpagani tu kama mimi, the minute ukikubali kuwa mkatoliki maana yake umeukubali uongozi wa busara wa papa.
 
Luteni,

Good observation... now you see a reason why I dont attend or cra(u)sh Kiranga's party. Anaandika mambo mengi sana na hata anasahau postion(s) yake (zake). He is all over the map mpaka inakuwa kazi kweli kuendeleza mjadala.

Kweli kabisa, kwenye thread moja anataka viongozi wa vyama wamkatae mgombea (with passion) na kisha kwenye thread nyingine, anapondea chama kwa kumkataa mgombea (with equal passion).

Kitu kimoja kinachoanza kuonekana hapa ni kuwa, Kiranga haipendi chadema. Ingawa atatumia kila aina ya excuse hapa lakini intensity yake kwenye anything ambacho ni anti-chadema huwa ni kubwa mno kulinganisha vingine vingi hapa.

Hata hivyo, ushauri wake ni mzuri so natumaini viongozi wa chadema wanamsoma na kuutilia maanani.

Inaonekana wewe ndiye uliye na tatizo la comprehension.

Thread zote mbili nimepinga wanachama kushurutisha uongozi wa juu kumkubali mgombea kwa sababu ya popular support bila kujali kitu kingine chochote.Nimeongelea umuhimu wa uongozi wa juu wa chama kuwa na uwezo wa ku veto popular vote ya wanachama kutokana na sababu mbalimbali.

If anything nimesema itakuwa si busara kwa viongozi wa vyama ku bow down to popular support ya watu kama Shibuda na kuwaweka kwenye ugombea tu, bila kujali Shibuda anaelewa vipi itikadi za chama.

Hebu nipe direct quote wapi nimekipondea chama kwa kumkataa mgombea hapa tuijadili siyo unafanya mambo rejareja.

You cannot contradict me on that one, you attempt failed.

Labda argument zangu ziko complex sana kwako.
 
Mbona nishaongea kwamba hakuna chama kisicho uongozi, hakuna chama kisicho na trust katika uongozi, hata hao wabunge mnaotaka kuwachagua nao ni wawakilishi.Kama huamini katika uwakilishi na unataka wanachama waamue kila kitu, ondoa hata hilo bunge basi, kwa nini unapeleka watu kuwakilisha wengine? Si turudi kwenye democracy ya Athens, nchi nzima ikutane pale Dodoma kuamua mambo ya nchi, tuone kama itakuwa democracy au anarchy.

Nishasema, uongozi una wajibu wa kutetea interests za wanachama, na wanachama wana wajibu wa ku pressure uongozi kufanya hivyo.Zaidi ya hapo, mkiona uongozi hautekelezi wajibu huu, mna u vote off, au mnajiondoa na kuanzisha chama kingine.

Lakini there is no point ya kuwa na chama halafu wanachama totally hawana trust na uongozi wao, wanataka kufanya kila kitu wenyewe. Inafikia wakati, for the sake of chama kuweza kufanya vitu smoothly, the best informed people at the top of the party, wanafanya maamuzi kwa niaba ya wanachama wote. This is totally acceptable as long as there is reasonable transparency.

Tukitaka kila kitu kifanywe na wanachama wote itakuwa anarchy na vyama vitapoteza maana yake.

Nnajua tatizo ni kwamba tumekuwa stung vibaya sana kiasi kwamba hakuna kuaminiana kabisa, well, kama huamini mtu kuwa kama mimi, usiingie katika chama cha siasa.Ukishaingia katika chama cha siasa maana yake unaamini uongozi wa chama.

Huwezi kusema wewe mkatoliki, halafu ukasema maamuzi ya papa na conclave yake yatoke kwa waumini, utakuwa huelewi maana ya kuwa mkatoliki. Kama vipi uwe mpagani tu kama mimi, the minute ukikubali kuwa mkatoliki maana yake umeukubali uongozi wa busara wa papa.

Kwa hiyo msimamo wako kwenye hii thread ni upi (kwa kutumia maneno machache)?

Chadema (viongozi wa chadema) wamefanya jambo zuri au baya kuwatoa kina Regia (kama hii habari ya mwanakijiji ni kweli)?

Yaani, ni vyema kwa viongozi wa chadema kwenda kinyume na maamuzi ya wanachama?
 
Kiranga

Huwa nakuambia siku zote tatizo lako ni kuandika mambo mengi baadaye unasahau ulichoandika. Mwanzo ulikuwa unapinga Kamati kuu ya Chadema kuwachagulia wagombea, sasa unasema Higher level authority ina uwezo wa kuchagua mgombea strong kwa vile ina network pana tofauti na wanachama wa kawaida.

Sioni ni kitu gani ulikuwa unawapinga Chadema kwa kuwaweka kina Mpendazoe imetumia hiyo hiyo intelligence network unayoisema. Naona hapa tutakuwa tunazunguka palepale alimradi tunajaza page, Good Bye.

Iintelligence network gani ambayo hata haikuweza kusoma barometer ya watu wa CHADEMA wata vote vipi kwenye primaries ?
 
Nimependa neno lake ... tuziangalie. Yes, tuziangalie tu na sio tuzitumie kama msingi muhimu wa maamuzi yetu.

Eti kwa vile Zambia walichemsha na Chiluba, basi wapinzani wote duniani wasichaguliwe kwa vile Chiluba (poor Chiluba) alichemsha?!!!

Kiranga, are you serious?

Hawa ndio husema mkijagua upizani itakuwa vita kama rwanda na burundi baada ya maneno hayo wanaonyesha picha za vita vijijini ,ila mwaka huu sijuhi kama wananchi they 'll buy that.
 
Kwa hiyo msimamo wako kwenye hii thread ni upi (kwa kutumia maneno machache)?

Chadema (viongozi wa chadema) wamefanya jambo zuri au baya kuwatoa kina Regia (kama hii habari ya mwanakijiji ni kweli)?

Yaani, ni vyema kwa viongozi wa chadema kwenda kinyume na maamuzi ya wanachama?

Mbona nimesema mara umpteen hapo juu? Unanisoma kweli wewe au unakimbilia kujibu tu?

Nimesema, in a nutshell.

Ukikubali kuwa na vyama, vipe vyama -hususan uongozi wa juu- meno ya kumkubali au kumkataa mtu yeyote, regardless ya popular support yake.

Ukitaka kujifanya unaendesha kila kitu kwa popular support ya wanachama, then unaondoa maana ya kuwa na chama, you might as well abolish parties, ufanye kila kitu kwa popular support au anarchy ya Athenian democracy, watu wote tuende Dodoma kujadili bajeti.
 
Thread zote mbili nimepinga wanachama kushurutisha uongozi wa juu kumkubali mgombea kwa sababu ya popular support bila kujali kitu kingine chochote.Nimeongelea umuhimu wa uongozi wa juu wa chama kuwa na uwezo wa ku veto popular vote ya wanachama kutokana na sababu mbalimbali.

Kwenye thread ya Shibuda, sio kwamba unapinga swala la wanachama kulazimisha viongozi kumkubali Shibuda. Unapinga swala zima la kuwapa wanachama wa chadema nafasi ya kuamua kama wanamtaka Shibuda au la.

Kama viongozi wa chadema hawana maamuzi hayo, hao viongozi wa chadema watachaguliwa na nani?

Na hata hivyo, hata kama ungekuwa unapinga swala la wanachama kushurutisha uongozi kumkubali mgombea, je katika hii thread, ugomvi wako kwa viongozi wa chadema ni juu ya nini?

Huoni kama chadema (nikimaanisha viongozi) wamefanya kile ulichotaka wafanye?
 
Mbona nimesema mara umpteen hapo juu? Unanisoma kweli wewe au unakimbilia kujibu tu?

Nimesema, in a nutshell.

Ukikubali kuwa na vyama, vipe vyama -hususan uongozi wa juu- meno ya kumkubali au kumkataa mtu yeyote, regardless ya popular support yake.

Ukitaka kujifanya unaendesha kila kitu kwa popular support ya wanachama, then unaondoa maana ya kuwa na chama, you might as well abolish parties, ufanye kila kitu kwa popular support au anarchy ya Athenian democracy, watu wote tuende Dodoma kujadili bajeti.

Kwa hiyo, kama viongozi wa chadema wamefanya kile mwanakijiji alichosema hapo juu, basi unakubaliana na walichofanya (hii ndiyo position yako) si ndio?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom