Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkandara unaweza kuiweka dream cabinet ya CHADEMA, tuseme wamepewa nchi leo, not that CCM ni wazuri hivyo, let us say unataka kuonyesha CHADEMA wana team, unaweza kuweka mawaziri na manaibu wao hapa just for he sake of argument ?
This is a genuine question, I am genuinely examining things. Inawezekana wapo ila wananchi hatuwajui.
..., not that CCM ni wazuri hivyo, ....
Well tupo wengi tu kama Regia kwani hapa ni kijiweni. Tunaandika kama vile unaongea na mtu na sii kuandika habari au kitabu.
It's a forum..!
CCM sio wazuri ..... hakuna kiwango cha uzuri wao. Ha ha ha, kiranga bana
Na kashfa na mapungufu yake yote, sitaki Mtema aenguliwe na kikao au kikundi cha watu, awe Lissu awe John, iwapo tumeshafanyishwa uchaguzi. Kwa nini tumepiga kura?Kwa nini Mnyika anamdiss huyu dada? Nafikiri kuna watu CHADEMA washaanza kuliona hili ndio maama Tundu Lissu kashaanza kupendekeza mtu mwingine.
Mkuu wangu mimi simo ktk Uongozi wa chama Chadema isipokuwa naweza kabisa kukujibu swali hili na pengine kuwasaidia hao Chadema in the making..Mkandara unaweza kuiweka dream cabinet ya CHADEMA, tuseme wamepewa nchi leo, not that CCM ni wazuri hivyo, let us say unataka kuonyesha CHADEMA wana team, unaweza kuweka mawaziri na manaibu wao hapa just for he sake of argument ?
This is a genuine question, I am genuinely examining things.
compacency.
Noo mkuu wangu Kitila hakutakiwa kuandika asiyoyajua kama hakuwepo ama hakuwa na ukweli wa kilichotokea - PeriodMkandara
Kitila alikosea kuzungumzia vitu asivyokuwa na hakika navyo, lkn pia hakumaanishi kuwa kusema 'kitila usitake kuupoteza umma' na mfano wake kuwa sahihi.
Angemwomba kitila kuja kurekebisha kauli yake ingetoa picha nzuri kwa chama, kitila na yeye pia........lakini Mimi si mwana siasa Kama nyie wenye chama mnafurahia 'uwazi' wa aina hii na auendeleze.
Btw hii principle ya kuwa hapa ni kijiweni ni applicable wakati wote
Na kashfa na mapungufu yake yote, sitaki Mtema aenguliwe na kikao au kikundi cha watu, awe Lissu awe John, iwapo tumeshafanyishwa uchaguzi. Kwa nini tumepiga kura?
Mtema, dada, watu wanakukatia simu kwa sababu hawako makini kiuongozi na kidiplomasia, lakini pia unafanya mambo kienyeji, usijipigishe simu kwa John na Zitto, andika hata barua pepe kupitia tarakishi au mtandao wa CHADEMA. [/SIZE][/FONT]
Na kashfa na mapungufu yake yote, sitaki Mtema aenguliwe na kikao au kikundi cha watu, awe Lissu awe John, iwapo tumeshafanyishwa uchaguzi. Kwa nini tumepiga kura?
Mtema, dada, watu wanakukatia simu kwa sababu hawako makini kiuongozi na kidiplomasia, lakini pia unafanya mambo kienyeji, usijipigishe simu kwa John na Zitto, andika hata barua pepe kupitia tarakishi au mtandao wa CHADEMA. [/SIZE][/FONT]
Hili sijaanza kulisema leo, ni wewe tu mwenye bias ya CHADEMA ndiye ambaye hujaona hili labda.
Ndio nini hiyo Mr.Fastidious?
Sentesi yako imesema '' not that ccm ni wazuri hivyo"
Kwa maana kwamba, ccm ni wazuri, lakini sio wazuri hivyo!
Kwa macho yangu na bias zangu za chadema nikaona ufisadi right there ... right there Kiranga, right there ukisema ccm ni wazuri ila sio wazuri hivyo.
Mkuu nadhani una lako jambo wala sii kidogo!This proves my point kwamba wanachama wanaweza kukosea kuchagua mtu kwa sababu tofauti na ajenda ya chama (kama uwezo) na katika cases kama hizi uongozi wa juu uwe na uwezo wa ku veto wagombea dhaifu waliopita, kama kina Regia Mtema.
Mkuu wangu mimi simo ktk Uongozi wa chama Chadema isipokuwa naweza kabisa kukujibu swali hili na pengine kuwasaidia hao Chadema in the making..
Chadema hawana haja wala sababu ya kuwa na Wizara 30 na Manaibu wake. Chadema inaweza kuwa na Wizara 15 au 18 tu na hakuna Manaibu Waziri. Na kati ya hao Chadema kikaweka Mawaziri wake 10 toka au 12 na wengine kuwachukua toka vyama vyingine kuunda bipartisan. Kwani naamini kabisa sio viongozi wote ndani ya CCM na CUF watakataa kuchukua jukumu walilopewa na rais wao kuhakikisha Ufisadi unakoma.
Huwezi kunambia Chadema haina watu wanaoweza kushika wizara 10 au 12.. na hakika siwezi kuwataja majina kwa sababu mimi siwaelewi wagombea wa Chadema wala uongozi wake zaidi ya hawa tunaowataja hapa kila siku. Nimejiunga na Chadema kwa sababu ya malengo ya chama na sio kutazama kina nani wana represent Chadema kuweza kuchukua nchi.
John Okello na makuli wa bandarini zanzibar ndio waliofanya Mapinduzi ya Zanzibar, na hakika pamoja na hawa manamba kutokuwa na uwezo wa kutawala, leo hii Zanzibar ni huru na haipo tena chini ya Sultan.
This is a genuine Answer, I am genuinely exploring reality!
Kiranga,
Mkuu nadhani una lako jambo wala sii kidogo!
Hakuna serikali hata moja duniani inayozungumzia dream cabinet kabla ya kuchukua Ushindi. haya sio mashindano ya Mpira au team ya kucheza. Tanzania tuna population ya watu millioni 40 na kati ya hao Chadema haiwezi kushindwa kuwa na cabinet unless ktk akili yako unafikiria cabinet has to be those U have in mind..Sijataja namba ya mawaziri, nimesema dream cabinet ya CHADEMA ipi, naona hadithi nyingi, hamna kitu concrete wakati ulishasema unaweza kujibu swali vizuri tu.
Halafu mimi nishakipa CHADEMA mandate ku form gov 100% wewe unatafuta bipartisanship ? na watu ambao hawana mandate? Wananchi waliokupa mandate wakueleweje ?
Demokrasia ya wapi hiyo ya kuwapa kura ya turufu makao makuu ya chama baada ya wote kupiga kura?.. kwamba wanachama wanaweza kukosea kuchagua mtu kwa sababu tofauti na ajenda ya chama (kama uwezo) na katika cases kama hizi uongozi wa juu uwe na uwezo wa ku veto wagombea dhaifu waliopita, kama kina Regia Mtema.