Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Pale pale, hujui kwamba CHADEMA wana team capable ya ku form government, for all we know watu wa caliber ya ku form government CHADEMA wanaweza kuwa hawafiki 15.
Hiyo ya sijui unasadiki wewe. Mimi sijasema sijui. Usinisemee bana. Kwani umekuwa msemaji wangu?
Nimekupa nafasi ya kusema, hukusema.
Kama nimeamua kutosema basi usinisemee....
I see you can't take a challenge.
Dang ma dude, serikali ya mtu nane.
Regia mbona umemsahau ? Na Shibuda... 🙂
Siyo ya watu nane...nimetaja tu watu ambao wanaweza kuwa kwenye serikali....rudi tena uone nyongeza yangu. Katika watu takribani milioni 40 hakuwezi kukosekana watu wa kuunda serikali. Au unataka niorodheshe majina ya watu ninaowajua binafsi wanaoweza kuunda serikali? Hata machizi wangu Moelex na Rev Kishoka wanauwezo kabisa wa kuwa kwenye serikali....
Au wewe unataka idadi gani?
CHADEMA sio Wyclef Jean bana.....lol
Kumbe hata machizi wanaweza kuwa katika serikali ya CHADEMA ?
I rest my case.
Mazee ningependa watu wengi zaidi wa vote CHADEMA, only because naamini tunahitaji mabadiliko.
Lakini at the same time siamini kwamba CHADEMA watashinda urais au kuwa na majority ya viti vya bunge. Nisingependa kuona CHADEMA wanashuka chini kutoka asilimia za kura za urais walizopata 2005 (11%) wala kupunguza viti vya bunge.
Lakini for sure CHADEMA nao bado hawako ready for prime time, ndiyo maana naona ni bora kuwe na gradual change, wapate tough love hapa, kama wana moyo wa kujifunza waweze kujifunza, labda 2015 au 2020 wataweza kuchukua nchi with confidence.
Finally, Kiranga mwanaccm na mtetezi wa mafisadi hapa JF ametoka nje ya closet.
Naipiga picha hii post ili niwe naiweka kwenye mabandiko yake kila anapojaribu kuleta unafiki wake.
Unaweza kusema hivi tu kama hunifuatilii na hujui ninachosiamamia, wala si mara ya kwanza kusema hili, na ninavyobonda CHADEMA ujue nishabonda CCM maradufu.
Kwa hiyo huwezi kusema hata siku moja kwamba mimi ni mtetezi wa CCM.
Tatizo lenu mna operate kwa kutumia one track mind, kwamba mtu yeyote anayebondea CHADEMA ni kibaraka wa CCM. Hamjui kwamba kuna watu haturidhiki na uongozi wote wa kisiasa Tanzania, si CCM wala CHADEMA. Na tukibondea "chama mbadala" haina maana kwamba tunaunga mkono CCM.
Hili linakuwa gumu sana kuonekana kwa simpleton wa kufikiri "if you are not with us, you are with our enemy" mimi naweza kuwa siko na ninyi na wala sipo na enemies wenu CCM.
Uki expose hii simplicity of thought unanionyesha sababu zaidi kwa nini niko sawa kuwa critical of your lot.
Kuna wakenya marafiki zangu huwa wanatania kuwa watanzania tuna kiswahili mreeefu? Sijui kama statement yao ni kweli ila wewe unafit kabisa hiyo scenario.
Wewe unachoendeleza hapa ni maneno tu lakini intention yako i wazi. Ukisema kuwa chadema haifai, je nani anafaa?
Wewe unaunga mkono CCM na wala hilo halina ubishi.
Tatizo ni kuwa, October hii kuna uchaguzi kati ya CCM na CHADEMA (jumlisha upinzani)
Wewe chaguo lako ni nini?
Inawezekana Wakenya wako wako sawa in some cases kuna Wabongo wenye Kiswahili kirefu.
Lakini pia kuna cases Kiswahili chao ni cha kuombea maji na hata mtu akiongea Kiswahili cha kawaida wataona unaongea Kiswahili kirefu, in that case I am not talking too fast, they are listening too slow, Kiswahili changu sio kirefu sana, chao ndicho kifupi sana.
Nishakwambia sio tu chaguo langu ni lipi, bali kwa sababu gani na nani atashinda.
Lakini kwa sababu "Kiswahili chako kifupi" unauliza swali nililokwishajibu.
Not only one track minded, but also blind as a deaf bat too.
Kiranga said:Mazee ningependa watu wengi zaidi wa vote CHADEMA, only because naamini tunahitaji mabadiliko.
Lakini at the same time siamini kwamba CHADEMA watashinda urais au kuwa na majority ya viti vya bunge. Nisingependa kuona CHADEMA wanashuka chini kutoka asilimia za kura za urais walizopata 2005 (11%) wala kupunguza viti vya bunge.
Lakini for sure CHADEMA nao bado hawako ready for prime time, ndiyo maana naona ni bora kuwe na gradual change, wapate tough love hapa, kama wana moyo wa kujifunza waweze kujifunza, labda 2015 au 2020 wataweza kuchukua nchi with confidence.
Kama nilivyoahidi,
Ninarudia kubandika ulichoandika hapa juu huku nikiweka msisitizo kwenye point za muhimu. Nitaendelea kufanya hivi kwa siku nyingi sana zijazo:
Angalia kilichoulizwa na unacho asume kimeulizwa, tofauti. Don't assume, you make an ass of u and me.
Oooh mimi nimeshavua kofia long - Sikuwezi mkuu wangu, kwako mchana ni Usiku wa kiza na unataka mtu ku prove hali wewe umefumba macho..haaa! haaa! haaa!
Either variant is acceptable, depending on dialect, vivyo hivyo, papo hapo
honky-dory definition - Dictionary - MSN Encarta
Pale pale, hujui kwamba CHADEMA wana team capable ya ku form government, for all we know watu wa caliber ya ku form government CHADEMA wanaweza kuwa hawafiki 15.