Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Kinachofanya Chadema kukubalika na watu wengi kwa sass ni kwa sababu Watanganyika wanahitaji ukombozi dhidi ya watawala dhalimu wa CCM
Wasaliti ambao waliendekeza njaa na uroho wa madaraka wakaenda kuungana na madhalimu alafu baada ya kuona hawapati faida wameanza kurudi Chadema kwa kasi kama mwendo wa farasi.
Chadema hii ya sasa isipokuwa makini itaharibikiwa soon.