CHADEMA iweke mfumo mzuri wa viti maalum

CHADEMA iweke mfumo mzuri wa viti maalum

Unajua kuwa hizo kura zao majimboni zinaleta viti maalum? Pili halima alikuwa mwenyekiti bawacha kwahiyo alikuwa na tiketi tayari ya mjengoni

Hujanielewa, Mimi sipingi Hilo, Bali nachopinga Ni kwanini tusiwe na sysytem moja tu ya kugombea viti maalum kuliko hi ya Sasa.
 
Hii ya kina Halima Mdee, Ester Bulaya, Kaboyoka and the likes ilikuwaje kaka? Check your facts right.
Hao wote waligombea majimboni kasoro Mdee tu ndio aligombea kura za maoni jimboni plus kura za maoni viti maalum (Hizi ni chaguzi mbili tofauti).

Inapaswa ukiwa viti maalum whether uliingia kwa teuzi au kushinda kura za maoni viti maalum uchaguzi unaofuata inapaswa ugombee kura za maoni za ubunge wa majimboni na sio kura za maoni viti maalum.

Ndio maana wabunge WOTE wa viti maalum waligombea kura za maoni za ubunge wa majimboni.
 
Mkuu huu uzi wako na ushauri wako vimepuuzwa kwa sababu wewe bado haujasajiliwa katika kundi lao la chawa wa mwenyekiti. Laiti ungekuwa miongoni mwa chawa wa mwenyekiti basi uzi wako ungejaa Like na Comments mbali mbali za kuusifu uzi wako. Dah pole san mkuu.

Na Hapo ndipo shida inaanzia mkuu, ukitoa ushauri kusaidia chama inaonekana mbaya. Shida hi ya Covid 19 imeanzia Hapo, hatuna clear system ya viti maalum. Viti maalum vipo kwaajili ya wale ambao hawakugombea majimboni. Ingekuwa hivyo Alina Halima mdee wasingepata nafasi.
 
Naunga mkono hoja, pia nashauri kuwa viti maalum ni miaka mitano tu, ukishakuwa mbunge hupaswi kuja kuwa mbunge kupitia viti maalum tena. Na ni vyema uwe viti maalum kama hujafikisha miaka 35.

Asante mkuu, tukipeleke chama mbele. Chadema mbele daim.
 
Hizo kura jimboni husababisha idadi ya viti maalum. Uliwafuatilia viti maalum wa vyama karibu vyote wanachokifanya bungeni ni hawana maajabu.

Ni kweli kabisa, mkuu. Mimi naongelea clear system ya viti maalum Ili kusiwepo na malalamiko au loopholes ambapo linaweza kuibuka kundi from nowhere kuja kudai Ni wabunge wa Chadema kilivyotokea.
 
Hii nchi in misukule wenye vichwa vizito sana.

Viti maalum kwa CHADEMA Ni Genge la kupeana fadhila na ulaji kwa watu wenye ukoo wa mangi, ila mkiambiwa fungueni macho muone hamtaki.

Halafu kwa akili zenu za kenge mnafikiri hao mangi wanachukizwa na hao watu was kuendelea kupiga PESA huko bungeni.

Zindukeni nyie Majuha.

Watu wanatajirika, nyie mmebaki kuoiga Domo tu kama kenge mwenye mimba
 
Sheria zipo wazi kuwa Wabunge viti maalum wanachaguliwa na Kamati kuu then Katibu Mkuu anapeleka majina so hao wamefoji ambacho ni kinyume Cha Sheria. So whether mchakato ungekua wazi au sio wazi obviously kina Mdee Bado tu wangefanya walichofanya coz forgery haihitaji process yoyote ya kisheria ifuatwe.

Kingine CHADEMA iliweka wagombea ubunge zaidi ya 70 wanawake sasa unakuta Jimbo kama Kigamboni 2015 mgombea wa CHADEMA alishindwa ila alikua na kura nyingi kuliko majimbo yote ya Pemba!! Sasa mtu kama huyo utamnyima viti maalum?

Mind you kura za wagombea ubunge ndio zinazaa viti maalum ndio maana licha ya CHADEMA kuporwa majimbo yote Bado ilikua na slots 20 sababu wagombea ubunge walipata kura million 2. So waliochangia Ile pool obviously watapewa kipaumbele viti maalum.

Hii inafanyika Ili BAWACHA iwe strong movement unlike UWT au UVCCM ambapo watu wanaingia kusaka teuzi tu wakikosa huwasikii kwenye harakati.

Nashukuru mkuu kwa maelezo yako. Napnlenda watu we hoja Kama wewe. Nimeelewa kwamba lengo ni kufanya BAWACHA kuwa strong sawa.
 
Chama kilichopo mioyoni mwa watanzania hakiwez kufa mkuu..hata mkifute kitakuwepo TU...
KWANZA UNATESEKA NA CHADEMA UKIWA WAPI MKUU?

Kweli kabisa CHADEMA Ni Institution na Ina mvuto kuliko CCM . Mbele papo vizuri.
 
Hii nchi in misukule wenye vichwa vizito sana.

Viti maalum kwa CHADEMA Ni Genge la kupeana fadhila na ulaji kwa watu wenye ukoo wa mangi, ila mkiambiwa fungueni macho muone hamtaki.

Halafu kwa akili zenu za kenge mnafikiri hao mangi wanachukizwa na hao watu was kuendelea kupiga PESA huko bungeni.

Zindukeni nyie Majuha.

Watu wanatajirika, nyie mmebaki kuoiga Domo tu kama kenge mwenye mimba

Juha mwenyewe pumbavu mkubwa. Tunatoa ushauri unaleta bangi zako hapa. Unachotaka Ni nini?. Akili yako imekalia ukabila punguwani mkubwa usiye na haya. Nitajie mchaga mmoja tu kwenye Viti maalum CHADEMA.
 
Unatia sana huruma. Baba yako angejua anazaa JUHA lije kutumikishwa na mangi angevaa kondomu siku hiyo.
 
Na Hapo ndipo shida inaanzia mkuu, ukitoa ushauri kusaidia chama inaonekana mbaya. Shida hi ya Covid 19 imeanzia Hapo, hatuna clear system ya viti maalum. Viti maalum vipo kwaajili ya wale ambao hawakugombea majimboni. Ingekuwa hivyo Alina Halima mdee wasingepata nafasi.
Obvious mkuu.
 
Back
Top Bottom