Mfumo wa sheria wa nchi hii umo mikononi mwa muhimili mwingineChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuelezea umma sababu kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kutopangiwa tarehe ya kusikilizwa
View attachment 3582912
Gentleman,Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuelezea umma sababu kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kutopangiwa tarehe ya kusikilizwa
Gentleman,
hakuna mamlaka katika nchii hii inaweza kushinikizwa kufanya chochote na chama useless kama chadema masalia,
na hakuna kitu itafanyika
Neno hilo.Mfumo wa sheria wa nchi hii umo mikononi mwa muhimili mwingine
sasa mpendwa ndugu wa faida na mtakatifu sana,Ona hili jendawazimu shetani!!
Jitu lisilo na faida kwa kiumbe chochote. Limejaa ushetani, wakati wote likifarijika na mateso ya watu wengine. Hakika hili linaloitwa Tlaatlaah, siyo binadamu, ni shetani katika umbile la mwanadamu. Ni faraja kubwa kama JF isingekuwa na jitu kama hili. Michango yake yote niya kufurahia mateso na mauaji ya wanadamu!!
Neno " KISIASA" linamana gani?, mbona linatumika kudogosha vitu serious?, mfano Uhaini wa Lissu naona kama unataka kudogoshwa kwa kutumia neno "kisiasa".Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuelezea umma sababu kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kutopangiwa tarehe ya kusikilizwa
Wahusika wa upande wa washitaki bado wako kwenye kozi ya kutoa ushahidi.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuelezea umma sababu kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kutopangiwa tarehe ya kusikilizwa
Kwa kifupi lisu atanyanyaswa kisaikoloji hadi akili zimrukeChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuelezea umma sababu kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kutopangiwa tarehe ya kusikilizwa
Sasa polisi na mahakama hawafikiri hivyo, wao wanaona Lissu ni special case, ndio maana siku ya kesi yake mahakama na barabara zote Dar es Salaam hujaa maaskari polisi, tofauti na kesi za aliowakuta gerezani zinapoendeshwa.Mahakama inasikiliza kesi zingine za ambao Tundu Lissu aliwakuta Gerezani yeye siyo special case he is like other criminals across the nation
Kuna kesi ngapi za uhaini alizozikuta huko mahakamani? Mnadhani mtaendelea kutumia mahakama kuumiza wapinzani na wakae kimya? Na kwa taarifa tunatunza rekodi za wate wanaotumika kuumiza wapinzani. Si muda mrefu mambo yanabadilika kila mmoja atalipia alivyotumika.Mahakama inasikiliza kesi zingine za ambao Tundu Lissu aliwakuta Gerezani yeye siyo special case he is like other criminals across the nation
Huyo jaji mkuu huwa anajifanya kuponda mambo mabaya ndani ya mfumo wa mahakama. Sasa kwenye hili naona limembana koo! Hakika anatamani astaafu aondoke mana anachokiongea ni tofauti na hali ilivyo huku yeye akiwa ndiye msimamizi mkuu!Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuelezea umma sababu kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kutopangiwa tarehe ya kusikilizwa
Siyo Kesi za Uhaini hapo tunaangalia makosa makubwa yote gerezani watu wa Mudder wamejaa sana Kuna Ugaidi, Grievance Harm with intent to Maim, Attempt Mudder, Manslaughter zote zinasikilizwa na majaji hao hao na kuna wengi Lissu kawakuta. Tushukuru Mungu nchi yetu Wamejitahidi sana kuzigawa mahakama na kuwapunguzia majaji mzigo mfano kesi za madawa ya kulevya husikilizwa Mahakama kuu Divisheni ya makosa ya Uhujumu uchumi na Rushwa zamani zilikua zinaenda palepale kuna mahakama kuu Ardhi, Mahakama kuu Mirathi Mahakama kuu KaziKuna kesi ngapi za uhaini alizozikuta huko mahakamani? Mnadhani mtaendelea kutumia mahakama kuumiza wapinzani na wakae kimya? Na kwa taarifa tunatunza rekodi za wate wanaotumika kuumiza wapinzani. Si muda mrefu mambo yanabadilika kila mmoja atalipia alivyotumika.
Sheria inataka awe anapelekwa mahakamani kila baada ya siku ngapi, na hadi leo ana siku ngapi hajapelekwa mahakamani, achia mbali hata kutangazwa siku ya kesi?Siyo Kesi za Uhaini hapo tunaangalia makosa makubwa yote gerezani watu wa Mudder wamejaa sana Kuna Ugaidi, Grievance Harm with intent to Maim, Attempt Mudder, Manslaughter zote zinasikilizwa na majaji hao hao na kuna wengi Lissu kawakuta. Tushukuru Mungu nchi yetu Wamejitahidi sana kuzigawa mahakama na kuwapunguzia majaji mzigo mfano kesi za madawa ya kulevya husikilizwa Mahakama kuu Divisheni ya makosa ya Uhujumu uchumi na Rushwa zamani zilikua zinaenda palepale kuna mahakama kuu Ardhi, Mahakama kuu Mirathi Mahakama kuu Kazi