Kesi zinazosikilizwa Mahakama kuu ni Mpaka Msajili atakapopanga Kikao cha MahakamaSheria inataka awe anapelekwa mahakamani kila baada ya siku ngapi, na hadi leo ana siku ngapi hajapelekwa mahakamani, achia mbali hata kutangazwa siku ya kesi?
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa za kitoto hapa jukwaani. Hiyo kesi iko mahakama kuu ama mahakama ya rufaa? Napoteza muda wangu na mtu anayeona uzembe wa mahakama ni sehemu ya sifa ya kiutendaji.Kesi zinazosikilizwa Mahakama kuu ni Mpaka Msajili atakapopanga Kikao cha Mahakama
Iko Mahakama Kuu Rufaa whatever the case huko ndo kugumu balaa kesi inaamuliwa na majaji watatu kuna watu wamefungwa 2022, 2023 2024 Rufaa zao hazijasikilizwa hapo rufaa inaweza kusikilizwa hata 2028 huko! Na kule kuna msajili wa Mahakama ya Rufaani Lisu hamna hamna ni 2031 JanuaryHuna ujualo zaidi ya kupiga siasa za kitoto hapa jukwaani. Hiyo kesi iko mahakama kuu ama mahakama ya rufaa? Napoteza muda wangu na mtu anayeona uzembe wa mahakama ni sehemu ya sifa ya kiutendaji.
Huna ujualo zaidi ya siasa za kitoto.Iko Mahakama Kuu Rufaa whatever the case huko ndo kugumu balaa kesi inaamuliwa na majaji watatu kuna watu wamefungwa 2022, 2023 2024 Rufaa zao hazijasikilizwa hapo rufaa inaweza kusikilizwa hata 2028 huko!
Ndugu kwani kuna kesi ngapi za uhaini zinazosikilizwa kwa sasa hadi kesi ya Lissu isubiri? Yaani kesi ya Uhaini isubiri kesi za jinai zinazoendelea?Mahakama inasikiliza kesi zingine za ambao Tundu Lissu aliwakuta Gerezani yeye siyo special case he is like other criminals across the nation
Majaji wale hawasikilizi kesi za Uhaini tuu Kuna Mudder, Ugaidi, Attempted Mudder, wanasikiliza Rufaa mbalimbali za waliofungws mahakama za Chini n.kNdugu kwani kuna kesi ngapi za uhaini zinazosikilizwa kwa sasa hadi kesi ya Lissu isubiri? Yaani kesi ya Uhaini isubiri kesi za jinai zinazoendelea?
Wakati mwingine jaribu kuwa logic kidogo.