Uchaguzi 2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

Ambatanisha na sampuli za barua hizo, msije kuwa mmejiandikia au wakasema mmejiandikia. Mbona tumeshashuhudia barua zikighushiwa na kusambazwa mitandaoni na baadae ofisi husika kuuzikana!
Wambie wakane sasa!
 
Mkuu hiyo barua umeona imekuwa addressed kwa jamii forum? Wewe umepewa FYI ukitaka amini hizo tuhuma zipo au ukitaka acha.Hope Chadema hawataweka hizo barua za police humu
 
Naunga mkono hoja
 
Ndo mmemaliza?
Jirani yangu mmoja ana mtoto wa kike anasoma darasa la saba, hivi karibuni alirudi nyumbani toka shule analia akashtaki kwa mama yake kwamba dereva wa boda boda anataka kujua jina lake bahati nzuri baba wa mtoto alikuwepo nae akamwambia binti yake huyo jamaa anataka kukuchumbia usikie umeshakuwa mkubwa. Kwa hiyo Chasema wasilie watoe majina
 
In fact hiyo ni moja ya njia ya kuwapa presha vyama upinzani kuelekea kwenye uchaguzi.

Mfaham kabisa hii ni Afrika.
 
Chadema wanatakiwa wachukue Hizo barua kisha kuwafungulia kesi OCD wote kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague watazinduka na kuacha kuwasaidia wenzao CCM
Huu ndo ushauri makini kabisa
 
Tatizo lako unategemea single source of information. Hadi watoto wameziona hizi barua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…