mbona hakushtakiwa kwa kosa la kughushi nyaraka?CCM mmekosa akili.
Yaaani John Mrema pandikizi la CCM lililotumika kufoji hadi saini ya Mnyika akawaingiza wabunge covid 19 bungeni mke wake akiwemo leo hii ndo awashawishi Watanzania kuikataa No Reform No Election?
CCM mmechanganyikiwq hakika๐ ๐ ๐
mbona hakushtakiwa kwa kosa la kughushi nyaraka?
No REFORM NO ELECTION ndio msimamo wa chama hadi sekunde hiiEndapo G55 wakifanikiwa kugombea.... Na watafanikiwa kwa sababu wanahitajika. 50% au zaidi watashinda. Hapa walosoma cuba watanielewa.
G55 ni akili kubwa Hawa ndiyo walistaili kuongoza chama siyo iliyikosa hekima na busaraKwa kifupi sanaa G55 imekuja kuchallange uhuru na demokrasia ndani ya CHADEMA rasmi sasa tunaenda kuona mliyokua mkiyahubiri hadharani.
Je mtawachukulia kama waasi kwa kuwa tofauti na mawazo na msimamo wa chama??
Je uhuru wa mtu kuchagua na kuchaguliwa ndani ya chadema ukoje mpaka sasa??
Nguvu ya mwenyekiti kikatiba iko vip ndani ya chama kwa atakaepishana nae kimawazo.
Endapo G55 wakifanikiwa kugombea.... Na watafanikiwa kwa sababu wanahitajika. 50% au zaidi watashinda. Hapa walosoma cuba watanielewa.
G55 itaungana na covid 19 na watakiumiza chama pakubwa mana sio wao tu wenye mawazo tofauti na kama mbowe ndie mdhamini kweli kama inavyodaiwa basi by october chadema itakua nusu kwa nusu juu ya reforms.
G55 ni credit kubwa sana kwa CCM kwa sasa kwa jinsi nanvyojua hata mkiwafuta uanachama msishangae mkaishi nao kama covid 19 kwa miaka mingine 5 kila siku mkikimbizana mahakamani bila suluhu.
Nini kitatokea endapo kundi lote likahamia CCM au ACT kwa pamoja tena siku moja ya uzinduzi wa kampeni ikiwa tayari mkakati wa mabadiliko umeshafeli.???
Je endapo G55 wakaamua kukubaliana na chama juu ya msimamo wa uchaguzi na mabadiliko na uchaguzi ukafanyika ACT kikawa chama kikuu cha upinzani bungeni (na naziona dalili). Mwenyekiti LISSU ataweza kuwadhibiti vip G55 katika uongozi wake??
Ushauri wangu.
Msitegemee suluhu kutoka nje ya chama hasa mahakamani kaeni chini mjadili na mfikie makubaliano kwa sababu sio muda wa malumbano au kuionesha jamii inayoanza kuwaamini ndani kwenu kuna madhaifu gani. Lisuu waite wawasilishe hoja zao kwa maongezi na sio maandishi tena. Mnawavunja imani wanachama wenu.
Maridhiano ndani ya chama kwa sasa ni kitu cha msingi sana kinachooneka kwa sasa ni kama mmpesuka na hamfai kuunganishwa tena.
Mwisho
Sio kama haya hayapo CCM yapo ila yanaratibiwa kitaalamu na ndivyo yanavyotakiwa kafanyika kwenu. Chukueni 4r za ccm zifanyieni kazi kwenu kwa kuziboresha. Samahani kwa ntakaowakwaza kwa muandiko wangu.
Mahakama ya ๐ฆmbona hakushtakiwa kwa kosa la kughushi nyaraka?
Sidhani kama itakua busara kwa chamaHao ni wa kuvuliwa uanachama. Kwanza wangekuwa CCM wangevuliwa uanachama asubuhi sana. Mrema ni aibu ya mwaka. kumbe kunenepa mashavu ni sababu ya kuramba asali
Mbona awali hayakuepo hayaSio ku challenge wamekuja kuvuruga ili iwe ahuweni upande wapili...
Uko sahihi lakini je itakua hivyo mpaka mwisho.... Mimi sioni mwisho mwema wa hili.No REFORM NO ELECTION ndio msimamo wa chama hadi sekunde hii
Mkuu.... So kwako kuwaondoa ni sahihi katika kipindi hiki??Mbona unalazimisha CHADEMA ishiriki?. Umeshasema ACT kitakuwa chama Kikuu Cha upinzani let it be. Kwani shida ipo wapi?. Hatuwezi kufanya maamuzi kwa kumuangalia mwingine anafanyaje.
Ukisoma vizuri nimesema hii inaenda kuungana rasmi G55 na Covid 19 watawezeshwa na watashinda uchaguzi baadhi yao..... Unapojibu jibu kwa iuigikiria kesho ya chama chako mkuuCCM mmekosa akili.
Yaaani John Mrema pandikizi la CCM lililotumika kufoji hadi saini ya Mnyika akawaingiza wabunge covid 19 bungeni mke wake akiwemo leo hii ndo awashawishi Watanzania kuikataa No Reform No Election?
CCM mmechanganyikiwq hakika๐ ๐ ๐
๐ฎ๐ฎ๐ฎG55 ni akili kubwa Hawa ndiyo walistaili kuongoza chama siyo iliyikosa hekima na busara
๐ฎ๐ฎ๐ฎUkisoma vizuri nimesema hii inaenda kuungana rasmi G55 na Covid 19 watawezeshwa na watashinda uchaguzi baadhi yao..... Unapojibu jibu kwa iuigikiria kesho ya chama chako mkuu
๐ฎ๐ฎ๐ฎMkuu.... So kwako kuwaondoa ni sahihi katika kipindi hiki??
Unapowaondoa una uhakika gani oparesheni yako inafanikiwa.... Vip ukawaondoa af ukadondokea pua comeback yao utaweza kuimudu???
๐ฎ๐ฎ๐ฎSidhani kama itakua busara kwa chama
Mbona awali hayakuepo haya
Uko sahihi lakini je itakua hivyo mpaka mwisho.... Mimi sioni mwisho mwema wa hili.