Mkuu bila kumungunya maneno Chadema ipo njia panda.
Ulipoona wamegawana fito yaani kura karibu 50 50,pale ilitakiwa akili ya ziada mapema kabisa.Iwe jinsi gani kuwaleta walioshindwa ndani.Palikosekana wazee wenye Busara kuunganisha nguvu, hakikufanyika.
Kumbe political scientist Marehemu aliekuwq advisor Profesa Baregu alikuwa vizuri kupunguza minyukano ndani ya chama R.I.P
Sasa kuna tambo,majivuno,mimi ndio Top in Chadema, you gonna fail and falling fast to the speed of light.Mimi sikujua kama kuna utofauti wa definition ya msamiati wa No Reform no Election.
Sijui katika lugha yenye mashiko ya kisheria Latin,Dr Slaa tusaidie kwa hilo.
Kikubwa zaidi Bwana Lissu usiigeuze chadema Nicaragua.Sijui kwanini unashindwa kusoma barua ikiwa ndani ya bahasha?
Jaribu hata ushauri uliotukuka kamq ARTIFICIAL INTELLIGENCE bado umeganda with stone age know how?Pull up your stocking.