🚮🚮🚮Ahsante Mkuu utastuka kumekucha.......
Unaruka ruka broCCM mmekosa akili.
Yaaani John Mrema pandikizi la CCM lililotumika kufoji hadi saini ya Mnyika akawaingiza wabunge covid 19 bungeni mke wake akiwemo leo hii ndo awashawishi Watanzania kuikataa No Reform No Election?
CCM mmechanganyikiwq hakika😅😅😅
Wewe umesoma zile sms za hao G55 walizokuwa wanatumiana?haswa ile ya Huyu kipara Mrema kichwa Box?Mbona unatoa ushauri walioukataa?Kwani lengo la Viongozi juzi kuwaita watia nia wa Ubunge wote ilikuwa nini?na Mrema akashauri nini?Hao watu hawataki suluhu wanachotaka nikuona Lissu amefeli ili wawafurahishe Mabwana zao Ccem.Pesa itawatokea Matrakoni mwakahuu mama.eeKwa kifupi sana G55 imekuja kuchallange uhuru na demokrasia ndani ya CHADEMA rasmi sasa tunaenda kuona mliyokua mkiyahubiri hadharani.
Je mtawachukulia kama waasi kwa kuwa tofauti na mawazo na msimamo wa chama??
Je uhuru wa mtu kuchagua na kuchaguliwa ndani ya chadema ukoje mpaka sasa??
Nguvu ya mwenyekiti kikatiba iko vip ndani ya chama kwa atakaepishana nae kimawazo.
Endapo G55 wakifanikiwa kugombea.... Na watafanikiwa kwa sababu wanahitajika. 50% au zaidi watashinda. Hapa walosoma cuba watanielewa.
G55 itaungana na covid 19 na watakiumiza chama pakubwa mana sio wao tu wenye mawazo tofauti na kama mbowe ndie mdhamini kweli kama inavyodaiwa basi by october chadema itakua nusu kwa nusu juu ya reforms.
G55 ni credit kubwa sana kwa CCM kwa sasa kwa jinsi nanvyojua hata mkiwafuta uanachama msishangae mkaishi nao kama covid 19 kwa miaka mingine 5 kila siku mkikimbizana mahakamani bila suluhu.
Nini kitatokea endapo kundi lote likahamia CCM au ACT kwa pamoja tena siku moja ya uzinduzi wa kampeni ikiwa tayari mkakati wa mabadiliko umeshafeli.???
Je endapo G55 wakaamua kukubaliana na chama juu ya msimamo wa uchaguzi na mabadiliko na uchaguzi ukafanyika ACT kikawa chama kikuu cha upinzani bungeni (na naziona dalili). Mwenyekiti LISSU ataweza kuwadhibiti vip G55 katika uongozi wake??
Ushauri wangu.
Msitegemee suluhu kutoka nje ya chama hasa mahakamani kaeni chini mjadili na mfikie makubaliano kwa sababu sio muda wa malumbano au kuionesha jamii inayoanza kuwaamini ndani kwenu kuna madhaifu gani. Lisuu waite wawasilishe hoja zao kwa maongezi na sio maandishi tena. Mnawavunja imani wanachama wenu.
Maridhiano ndani ya chama kwa sasa ni kitu cha msingi sana kinachooneka kwa sasa ni kama mmpesuka na hamfai kuunganishwa tena.
Mwisho
Sio kama haya hayapo CCM yapo ila yanaratibiwa kitaalamu na ndivyo yanavyotakiwa kafanyika kwenu. Chukueni 4r za ccm zifanyieni kazi kwenu kwa kuziboresha. Samahani kwa ntakaowakwaza kwa muandiko wangu.
Wanashitakiwa mahakama gani wakati wanabackup ya dola kwenye huo uchafu?mbona hakushtakiwa kwa kosa la kughushi nyaraka?
Wote wapo kundi mojaUnaruka ruka bro
Sio Salum mwalimu tenaa alifoji😂😂
Badala hao G55 wapoteze muda, kwanini wasifuate huu ushauri wako wahamie ACT ili kikawe chama kikuu cha upinzani?Kwa kifupi sana G55 imekuja kuchallange uhuru na demokrasia ndani ya CHADEMA rasmi sasa tunaenda kuona mliyokua mkiyahubiri hadharani.
Je mtawachukulia kama waasi kwa kuwa tofauti na mawazo na msimamo wa chama??
Je uhuru wa mtu kuchagua na kuchaguliwa ndani ya chadema ukoje mpaka sasa??
Nguvu ya mwenyekiti kikatiba iko vip ndani ya chama kwa atakaepishana nae kimawazo.
Endapo G55 wakifanikiwa kugombea.... Na watafanikiwa kwa sababu wanahitajika. 50% au zaidi watashinda. Hapa walosoma cuba watanielewa.
G55 itaungana na covid 19 na watakiumiza chama pakubwa mana sio wao tu wenye mawazo tofauti na kama mbowe ndie mdhamini kweli kama inavyodaiwa basi by october chadema itakua nusu kwa nusu juu ya reforms.
G55 ni credit kubwa sana kwa CCM kwa sasa kwa jinsi nanvyojua hata mkiwafuta uanachama msishangae mkaishi nao kama covid 19 kwa miaka mingine 5 kila siku mkikimbizana mahakamani bila suluhu.
Nini kitatokea endapo kundi lote likahamia CCM au ACT kwa pamoja tena siku moja ya uzinduzi wa kampeni ikiwa tayari mkakati wa mabadiliko umeshafeli.???
Je endapo G55 wakaamua kukubaliana na chama juu ya msimamo wa uchaguzi na mabadiliko na uchaguzi ukafanyika ACT kikawa chama kikuu cha upinzani bungeni (na naziona dalili). Mwenyekiti LISSU ataweza kuwadhibiti vip G55 katika uongozi wake??
Ushauri wangu.
Msitegemee suluhu kutoka nje ya chama hasa mahakamani kaeni chini mjadili na mfikie makubaliano kwa sababu sio muda wa malumbano au kuionesha jamii inayoanza kuwaamini ndani kwenu kuna madhaifu gani. Lisuu waite wawasilishe hoja zao kwa maongezi na sio maandishi tena. Mnawavunja imani wanachama wenu.
Maridhiano ndani ya chama kwa sasa ni kitu cha msingi sana kinachooneka kwa sasa ni kama mmpesuka na hamfai kuunganishwa tena.
Mwisho
Sio kama haya hayapo CCM yapo ila yanaratibiwa kitaalamu na ndivyo yanavyotakiwa kafanyika kwenu. Chukueni 4r za ccm zifanyieni kazi kwenu kwa kuziboresha. Samahani kwa ntakaowakwaza kwa muandiko wangu.
Hilo ni Jukumu la LISU la sasa wao kukataa sio mwisho..... CCM haikuishia kumtangaza SAMIA kuwa mgombea pekee af wakatulia kuna mengi yalijiri kuweka mambo sawa Mkuu.Wewe umesoma zile sms za hao G55 walizokuwa wanatumiana?haswa ile ya Huyu kipara Mrema kichwa Box?Mbona unatoa ushauri walioukataa?Kwani lengo la Viongozi juzi kuwaita watia nia wa Ubunge wote ilikuwa nini?na Mrema akashauri nini?Hao watu hawataki suluhu wanachotaka nikuona Lissu amefeli ili wawafurahishe Mabwana zao Ccem.Pesa itawatokea Matrakoni mwakahuu mama.ee
Hadi sasa hawapo na operation inaendelea vizuri.Mkuu.... So kwako kuwaondoa ni sahihi katika kipindi hiki??
Unapowaondoa una uhakika gani oparesheni yako inafanikiwa.... Vip ukawaondoa af ukadondokea pua comeback yao utaweza kuimudu???
Tunahitaji utofauti wa CCM na CHADEMA kwenye hiliBadala hao G55 wapoteze muda, kwanini wasifuate huu ushauri wako wahamie ACT ili kikawe chama kikuu cha upinzani?
Mambo ya ccm hayaratibiwi kitaalamu kama unavyotaka tuamini, nguvu ya dola waliyonayo ccm ndio inawatia woga makada wake kuonyesha kutofautiana hadharani hasa na mwenyekiti. Maana yoyote akithubutu kwenda kinyume na mwenyekiti, ajiandae kutekwa na vyombo vya dola, kubambikiwa kesi ama kodi, ama shughuli zake za kumuingizia kipato zihujumiwe. Na hata ikibi kuuwawa na hakuna uchunguzi wa maana utafanyika.
Mbona yule aliyepinga mchakato wa uchaguzi alifukuzwa ccm kama unachosema ndicho?Hilo ni Jukumu la LISU la sasa wao kukataa sio mwisho..... CCM haikuishia kumtangaza SAMIA kuwa mgombea pekee af wakatulia kuna mengi yalijiri kuweka mambo sawa Mkuu.
Ni wapi cdm wanawaiga ccm boss?Tunahitaji utofauti wa CCM na CHADEMA kwenye hili