PreGE2025 CHADEMA jiandaeni, G55 imekuja kutoa changamoto ya uhuru na demokrasia ndani ya chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
John Mrema ulwahi ona Zanzibar ikifanya uchaguzi siku 2
 
Unaruka ruka bro

Sio Salum mwalimu tenaa alifoji๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe umesoma zile sms za hao G55 walizokuwa wanatumiana?haswa ile ya Huyu kipara Mrema kichwa Box?Mbona unatoa ushauri walioukataa?Kwani lengo la Viongozi juzi kuwaita watia nia wa Ubunge wote ilikuwa nini?na Mrema akashauri nini?Hao watu hawataki suluhu wanachotaka nikuona Lissu amefeli ili wawafurahishe Mabwana zao Ccem.Pesa itawatokea Matrakoni mwakahuu mama.ee
 
Kama wamekaa wamekubaliana na hiyo kauli mbiu, uongozi uliopita na uliopo hao jamaa wametokea wapi tena.
Palikua na makubaliano labda YES ila njia inayotumika kuufikia malengo huenda sio rafiki kwa wote
 
Kupitia hii G55 ndiyo nimeelewa kwamba kipindi chote Cha uongozi wa FAM alikuwa anatumika na CCM kuwavuruga wapinzani....
 
Badala hao G55 wapoteze muda, kwanini wasifuate huu ushauri wako wahamie ACT ili kikawe chama kikuu cha upinzani?

Mambo ya ccm hayaratibiwi kitaalamu kama unavyotaka tuamini, nguvu ya dola waliyonayo ccm ndio inawatia woga makada wake kuonyesha kutofautiana hadharani hasa na mwenyekiti. Maana yoyote akithubutu kwenda kinyume na mwenyekiti, ajiandae kutekwa na vyombo vya dola, kubambikiwa kesi ama kodi, ama shughuli zake za kumuingizia kipato zihujumiwe. Na hata ikibi kuuwawa na hakuna uchunguzi wa maana utafanyika.
 
Hilo ni Jukumu la LISU la sasa wao kukataa sio mwisho..... CCM haikuishia kumtangaza SAMIA kuwa mgombea pekee af wakatulia kuna mengi yalijiri kuweka mambo sawa Mkuu.
 
Mkuu.... So kwako kuwaondoa ni sahihi katika kipindi hiki??

Unapowaondoa una uhakika gani oparesheni yako inafanikiwa.... Vip ukawaondoa af ukadondokea pua comeback yao utaweza kuimudu???
Hadi sasa hawapo na operation inaendelea vizuri.
 
Tunahitaji utofauti wa CCM na CHADEMA kwenye hili
 
Hilo ni Jukumu la LISU la sasa wao kukataa sio mwisho..... CCM haikuishia kumtangaza SAMIA kuwa mgombea pekee af wakatulia kuna mengi yalijiri kuweka mambo sawa Mkuu.
Mbona yule aliyepinga mchakato wa uchaguzi alifukuzwa ccm kama unachosema ndicho?
 
Ni wapi cdm wanawaiga ccm boss?
Umesema CCM hawapo smart ila n kwasababu kuna dola..... CDM hawana dola je kuwafukuza hao sio kwa sababu wamepingana na mawazo ya chama/mwenyekiti??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ