Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Hivi na wewe na akili zako Timamu unaweza kumsikiliza SAGAI GALGANO?Mkuu usimseme sana ,anaweza anza bubujikwa machozi, uyu ndo kazi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi na wewe na akili zako Timamu unaweza kumsikiliza SAGAI GALGANO?Mkuu usimseme sana ,anaweza anza bubujikwa machozi, uyu ndo kazi yake
Hakuna mtu wa kuitikisa CCM.hayupo huyo mtu ,hajazaliwa na wala hatazaliwa mtu huyo.Yani wewe Lucas sijui Mwakatombile wewe kuliko baba yako na mama yako mzazi wangekuzaa Bora wangepiga bao ndani ya Kondomu ya Salama wakaitupa chooni iliwe na Mamende 🪳🪳
Kwamba hamna yeyote atakayezaliwa kushindana na CCM na wala hatokuwepo kama Leo hii mkiruhusu Uchaguzi Huru na wahaki Nahakika CCM mnashinda kwa asilimia 20 mpaka 25 ubunge mnaenda kuwa Chama Pinzani, Kingine kama msipowatumia kina Mafwele kutisha na kupoteza watu kamwe hamtoboi hata kwa dawa
Usijidanganye wewe!Unachekesha sana sana.Wanafuata hela na uongozi/ajira.Hakuna mwenye akili asiyejua hilo.Acha vichekesho vikavu kama makewe/matobholwa.Watu wanahamia na kuingia CCM kwa hiyari yao wenyewe
Tafuta mahali penye Tv na upeleke macho yako hapo pasipo kuyatoa wala kupeleka pembeniKwamba mwamba mbowe na kundi lake watahamia huko?
CHADEMA itabakia na wasiojitambua tu.Makapi lazima yajichuje yenyewe, mfano kuna covid 19, kuna wame zao covid, kunawanaotuhumiwa ,kura rushwa, sasa hawa wakipokelewa wapo na impact gani kwa mfano.
Tetesi zilisema teacher kutokea kiembesamaki anabadili jezi leo kuambatana na mkewe mwenye covidMtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Wala usianze kutaja taja majina ya watu kwa presha. Tulia uone namna mnavyokwenda kupigwa na butwaa huku mkibakia mnalia lia tu na kutukana matusi kama vichaa au wendawazimuHabari za Salumu Mwalimu kuhamia CCM siyo mpya mjjni
Mimi sijasema hayo .ila leo mnakwenda kushangazwaTetesi zilisema teacher kutokea kiembesamaki anabadili jezi leo kuambatana na mkewe mwenye covid
Yaani Wasira mzee wa miaka 90 anateuliwa, halafu vijana mnabaki kufanya kazi ya kusifu na kuabudu tu.Wala usianze kutaja taja majina ya watu kwa presha. Tulia uone namna mnavyokwenda kupigwa na butwaa huku mkibakia mnalia lia tu na kutukana matusi kama vichaa au wendawazimu
Mkuu, hata wewe unaamini kabisa kwamba MWALIMU wa Madrasa atawaliza Chadema?Ndugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchagua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CCM tunapeana majukumu kulingana na uwezo wa mtu na siyo kutoa vyeo kama zawadi au shukurani kwa mtu. Mzee Wasira anaweza vyema kuifanya na kuimudu kazi hiyo.Yaani Wasira mzee wa miaka 90 anateuliwa, halafu vijana mnabaki kufanya kazi ya kusifu na kuabudu tu.
Kwani wapi nimeandika habari za Mwalimu?Mkuu, hata wewe unaamini kabisa kwamba MWALIMU wa Madrasa atawaliza Chadema?
Hii ngumu kuamini (Salum Mwalimu) kuamia CCM; but never say never kwa siasa zinazoendelea CDM.Habari za Salumu Mwalimu kuhamia CCM siyo mpya mjjni
Bora hawa ccm ambao wanateuana na kuchaguana kuliko chadema ambako chama ni cha mtu na familia yake. PuuuuiiiChama cha Mazuzu eti kinachagua na kuteua mtu mmoja halafu anapigiwa kura kushindana na kivuli chake.
Tena baada ya kwenda huko wamefunikwa kama kuku anakusubiri kuchinjwaBro kwa miaka 60 mmekuwa mnafanya hiyo mikutano, na, yanayotokea hayana chochote cha maaana, tuliiona ccm ya kambarsge(akili kubwa) and, nothing happened of significant value, sembuse ccm hii ya vilaza watupu,! Hata kama Mbowe atajiunga ccm Leo,!
Unamjua Mzee kaborou, mashinji, na kenge wengine, wote Hao walikuwa makatibu wa chama wakaendawakaenda ccm, and nothing happened
MkuuFear of the unknown
View attachment 3205989
Kama nyie mlivyolia kwa gauni alilovaa mama yenu janaAcha presha .wewe kaa kwa kutulia uone pigo mnalokwenda kulipata leo. Mtalia sana leo.