LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
au lissu, heche, na lema ndio watahamia huko? Anyway, however the incident let be happenTafuta mahali penye Tv na upeleke macho yako hapo pasipo kuyatoa wala kupeleka pembeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au lissu, heche, na lema ndio watahamia huko? Anyway, however the incident let be happenTafuta mahali penye Tv na upeleke macho yako hapo pasipo kuyatoa wala kupeleka pembeni
Subiri muda ufike muanze kulia na kutukana matusi .Kama nyie mlivyolia kwa gauni alilovaa mama yenu jana
Naona unaandika ukiwa umekata kabisa tamaa.au lissu, heche, na lema ndio watahamia huko? Anyway, however the incident let be happen
Hakuna mtanzania ambaye hatamani kuwa mwana CCM.hii ni kutokana na uimara na mfumo mzuri uliopo ndani ya CCM. hii ni taasisi bora kabisa barani AfrikaChama cha Mazuzu eti kinachagua na kuteua mtu mmoja halafu anapigiwa kura kushindana na kivuli chake. Chawa Lucas jitafakari hakuna chama kina ujinga kama CCM.
Naona mnajitekenya na mnajichekesha wenyewe kama wajingaSasa kila mtakae mchukua anawarudia vibaya,hao wengine tunawatuma wako kazini😂😂
Haya Slaa Dr yuko wapi,mlimpa ubalozi leo anawanga hadharani,Yuko jelaaaa baada ya kuwasema ukweli.Naona mnajitekenya na mnajichekesha wenyewe kama wajinga
Wewe unaandika huku unakata gogo ndiyo maana post zako zinanuka nnyaNaona unaandika ukiwa umekata kabisa tamaa.
Maza katufikia toilet hahahaaaKazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia
Kwahiyo tujiandae kukuona ukibubujikwa na machozi huku ukilia kwa kwikwi na kujiinamia kama mc pilipili.Ndugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchagua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anaongozana na Mnyika wakeMkuu, hata wewe unaamini kabisa kwamba MWALIMU wa Madrasa atawaliza Chadema?
Angalizo na tahadhari muhimu na ya maana sana hiyo umeitoa comrade,Ndugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchagua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwakuwa mnamuogopa kupita hata shetani😂Huyu hawezi kupita hata kwa dawa.
Unafuatilia kinachoendelea CDM ama nawe ndio wale wasanii waliojazana Dodoma?Bora hawa ccm ambao wanateuana na kuchaguana kuliko chadema ambako chama ni cha mtu na familia yake. Puuuuiii
Kilio Cha vazi la MamaSamia2025Subiri muda ufike muanze kulia na kutukana matusi .
Muda ukifika akili itakukaa sawa pale utakapokuwa unabubujikwa na machozi ya huzuniChawa linabwabwaja kweri kweri