CHADEMA jiandaeni kisaikolojia Leo. hamtaamini kitakachotokea Kwenye kuhitimisha Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Dodoma. Mtalia Sana Leo

Kwamba mwamba mbowe na kundi lake watahamia huko?
 
Hakuna mtu wa kuitikisa CCM.hayupo huyo mtu ,hajazaliwa na wala hatazaliwa mtu huyo.
 
Tetesi zilisema teacher kutokea kiembesamaki anabadili jezi leo kuambatana na mkewe mwenye covid
 
Habari za Salumu Mwalimu kuhamia CCM siyo mpya mjjni
Wala usianze kutaja taja majina ya watu kwa presha. Tulia uone namna mnavyokwenda kupigwa na butwaa huku mkibakia mnalia lia tu na kutukana matusi kama vichaa au wendawazimu
 
Wala usianze kutaja taja majina ya watu kwa presha. Tulia uone namna mnavyokwenda kupigwa na butwaa huku mkibakia mnalia lia tu na kutukana matusi kama vichaa au wendawazimu
Yaani Wasira mzee wa miaka 90 anateuliwa, halafu vijana mnabaki kufanya kazi ya kusifu na kuabudu tu.
 
Mkuu, hata wewe unaamini kabisa kwamba MWALIMU wa Madrasa atawaliza Chadema?
 
Yaani Wasira mzee wa miaka 90 anateuliwa, halafu vijana mnabaki kufanya kazi ya kusifu na kuabudu tu.
CCM tunapeana majukumu kulingana na uwezo wa mtu na siyo kutoa vyeo kama zawadi au shukurani kwa mtu. Mzee Wasira anaweza vyema kuifanya na kuimudu kazi hiyo.
 
Habari za Salumu Mwalimu kuhamia CCM siyo mpya mjjni
Hii ngumu kuamini (Salum Mwalimu) kuamia CCM; but never say never kwa siasa zinazoendelea CDM.

Lakini katika watu wote CDM, Mbowe ambao kawalea na kumpendelea kama mtoto wake ni Salum Mwalimu.

Kwa Mbowe huyo sio kada tu ni kama mtoto wake wa kufikia; sasa kuama CDM simuoni kwa jinsi navyoona uhusiano wao.

Nitashangaa ikitokea, kwa Mwamba (Salum Mwalimu na Godfrey Mbowe) kwake tofauti yao mmoja ni damu yake, mwingine adopted kid anaowapenda sawa (halafu wamefanana hao) utadhani wote watoto wake.
 
Reactions: G4N
Chama cha Mazuzu eti kinachagua na kuteua mtu mmoja halafu anapigiwa kura kushindana na kivuli chake. Chawa Lucas jitafakari hakuna chama kina ujinga kama CCM.
 
Chama cha Mazuzu eti kinachagua na kuteua mtu mmoja halafu anapigiwa kura kushindana na kivuli chake.
Bora hawa ccm ambao wanateuana na kuchaguana kuliko chadema ambako chama ni cha mtu na familia yake. Puuuuiii
 
Tena baada ya kwenda huko wamefunikwa kama kuku anakusubiri kuchinjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…