CHADEMA jiandaeni kisaikolojia Leo. hamtaamini kitakachotokea Kwenye kuhitimisha Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Dodoma. Mtalia Sana Leo

Chama cha Mazuzu eti kinachagua na kuteua mtu mmoja halafu anapigiwa kura kushindana na kivuli chake. Chawa Lucas jitafakari hakuna chama kina ujinga kama CCM.
Hakuna mtanzania ambaye hatamani kuwa mwana CCM.hii ni kutokana na uimara na mfumo mzuri uliopo ndani ya CCM. hii ni taasisi bora kabisa barani Afrika
 
Sasa kila mtakae mchukua anawarudia vibaya,hao wengine tunawatuma wako kazini😂😂
 
Kwahiyo tujiandae kukuona ukibubujikwa na machozi huku ukilia kwa kwikwi na kujiinamia kama mc pilipili.
 
Angalizo na tahadhari muhimu na ya maana sana hiyo umeitoa comrade,

maana ni gharika ya moyo ya kisiasa inakuja as surprise 🔥
 
Bora hawa ccm ambao wanateuana na kuchaguana kuliko chadema ambako chama ni cha mtu na familia yake. Puuuuiii
Unafuatilia kinachoendelea CDM ama nawe ndio wale wasanii waliojazana Dodoma?
 
Hahah watu wasiamini mtu kuhamia ccm? wangapi walihama? Hamna kipya cha kuwafanya watu wasiamini lolote kijana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…