CHADEMA jiandaeni kisaikolojia Leo. hamtaamini kitakachotokea Kwenye kuhitimisha Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Dodoma. Mtalia Sana Leo

Rejea yatakayotukia mwaka 2025 ktk nabii za watumishi wa Mungu. Mwisho wa draft kwa ccm ni mwezi October.
 
Angalizo na tahadhari muhimu na ya maana sana hiyo umeitoa comrade,

maana ni gharika ya moyo ya kisiasa inakuja as surprise πŸ”₯
CHADEMA watabubujikwa machozi ya huzuni na kubakia wakitukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu
 
Hao ma-reject wa CDM ndio mnaona dili huko CCM!
 
Chukuweni Mbowe tumemchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…