CHADEMA jiandaeni kisaikolojia Leo. hamtaamini kitakachotokea Kwenye kuhitimisha Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Dodoma. Mtalia Sana Leo

Ujinga mtupu
 
Sawa mama wassira
 
Hiyo haiji kutokea hata siku moja. Huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili na ustawi wake.hakuna Tanzania pasipo CCM.
Well news flash, tanzania inaweza songa bila ccm, bila chama chochote cha siasa. Taifa ni taifa na chama ni chama, usijipe sana uhuhimu
 
Homeboy, jana yalisemwa mengi sana juu yako humu. Kuwa, umekosa nauli ya kukufikisha Dodoma. Walimwengu wana mambo sana. Wakasema wewe unatumiwa tuu kama zana, baada ya game unatupwa huko, wanaenjoy wachekeshaji na wasanii.
Wathibitishie walimwengu kwa kutuma picha zako ukiwa Dodoma kama sivyo, ya walimwengu yatakuwa ya kweli.
 
Achana na wazushi hao๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ