SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kweli wewe ni kapuku,eti atafute mahali penye TV siyo umwambie awash TV,wewe bado sana wa mbwindeTafuta mahali penye Tv na upeleke macho yako hapo pasipo kuyatoa wala kupeleka pembeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe ni kapuku,eti atafute mahali penye TV siyo umwambie awash TV,wewe bado sana wa mbwindeTafuta mahali penye Tv na upeleke macho yako hapo pasipo kuyatoa wala kupeleka pembeni
Na wewe na ujinga wako una Tv?😄😄😀Kweli wewe ni kapuku,eti atafute mahali penye TV siyo umwambie awash TV,wewe bado sana wa mbwinde
Wewe kweli kapuku hivi kuwa na TV nayo imekuwa big deal? Nimeanza kumiliki wewe bado uko kwenye boxer ya babako mshamba mmoja wewe.Na wewe na ujinga wako una Tv?😄😄😀
Mimi na dem wangu tumemchoka M7 wa bongo mwendawazimu MboweUmemchoka wewe na nani.
Ujinga mtupuNdugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchagua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Leo ni zamu ya CHADEMA kububujikwa na machozi ya huzuni😀😀Lucas leo umebubujikwa tena😃😃
Hamna athariMimi na dem wangu tumemchoka M7 wa bongo mwendawazimu Mbowe
Kwanini hukuanza kumiliki kwanza akili?Wewe kweli kapuku hivi kuwa na TV nayo imekuwa big deal? Nimeanza kumiliki wewe bado uko kwenye boxer ya babako mshamba mmoja wewe.
sisi maombi yetu kwa Mungu ni ccm ishindwe
Dua la kuku halimpati mwewe kamwe !!sisi maombi yetu kwa Mungu ni ccm ishindwe na isambaratike.
Wewe unabubujikwa na mimavi tu maana sphincters wahuni wameshapita nazo kitambo.Leo ni zamu ya CHADEMA kububujikwa na machozi ya huzuni😀😀
Mwalimu nani?Kwani wapi nimeandika habari za Mwalimu?
Wewe unayejipendekeza wa watu wasiokuwa na mipango na wewe ndiye huna akili kabisa unatumika kiboya sana.Kwanini hukuanza kumiliki kwanza akili?
Natamani sana wabubujikwe tena baada ya matokeo ya tarehe 21😂Leo ni zamu ya CHADEMA kububujikwa na machozi ya huzuni😀😀
Mwaka huu utakuwa mchungu sana kwa CHADEMA.Natamani sana wabubujikwe tena baada ya matokeo ya tarehe 21😂
Sawa mama wassiraNdugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchagua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Well news flash, tanzania inaweza songa bila ccm, bila chama chochote cha siasa. Taifa ni taifa na chama ni chama, usijipe sana uhuhimuHiyo haiji kutokea hata siku moja. Huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili na ustawi wake.hakuna Tanzania pasipo CCM.
Homeboy, jana yalisemwa mengi sana juu yako humu. Kuwa, umekosa nauli ya kukufikisha Dodoma. Walimwengu wana mambo sana. Wakasema wewe unatumiwa tuu kama zana, baada ya game unatupwa huko, wanaenjoy wachekeshaji na wasanii.Ndugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchagua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Achana na wazushi hao😀😀Homeboy, jana yalisemwa mengi sana juu yako humu. Kuwa, umekosa nauli ya kukufikisha Dodoma. Walimwengu wana mambo sana. Wakasema wewe unatumiwa tuu kama zana, baada ya game unatupwa huko, wanaenjoy wachekeshaji na wasanii.
Wathibitishie walimwengu kwa kutuma picha zako ukiwa Dodoma kama sivyo, ya walimwengu yatakuwa ya kweli.