Chadema jibuni hizi hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Raia (MMKR)

Chadema jibuni hizi hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Raia (MMKR)

Hoja zijibiwe?
Nani walimshambulia Tundu lisu?
Nani alimuua akwilin?
Yupo wapi Ben na ANZORY GWANDA?
Tuanzie hapa?
Kwann uwanja wa ndege chatto na siyo geita?
Kwann ASSADalifurushwa kazi???
Hayo maswali ukitoa la Chato ni bora Umuulize mwenyekiti wako .
 
Kwann litolewe la chato? Yaani mbowe awaue watu kipindi cha yule JUHA angemuacha???
Mkuu ongea na viongozi wa CHADEMA wakusanye ushahidi ili wafungue kesi dhidi ya Jamhuri atleast ndugu wapate chochote .
 
Mkuu ongea na viongozi wa CHADEMA wakusanye ushahidi ili wafungue kesi dhidi ya Jamhuri atleast ndugu wapate chochote .
Mm singer na chadema. Tulishaongea na mungu muweza wa yote akatenda ukiongea nao wewe inatosha ila bwana ametenda mzee
 
Hoja zijibiwe?
Nani walimshambulia Tundu lisu?
Nani alimuua akwilin?
Yupo wapi Ben na ANZORY GWANDA?
Tuanzie hapa?
Kwann uwanja wa ndege chatto na siyo geita?
Kwann ASSADalifurushwa kazi???
Nje ya kichaka hata sungura hawezi kukurupuka
 
Back
Top Bottom