Hayo maswali ukitoa la Chato ni bora Umuulize mwenyekiti wako .Hoja zijibiwe?
Nani walimshambulia Tundu lisu?
Nani alimuua akwilin?
Yupo wapi Ben na ANZORY GWANDA?
Tuanzie hapa?
Kwann uwanja wa ndege chatto na siyo geita?
Kwann ASSADalifurushwa kazi???
Kwann litolewe la chato? Yaani mbowe awaue watu kipindi cha yule JUHA angemuacha???Hayo maswali ukitoa la Chato ni bora Umuulize mwenyekiti wako .
Kuna vitu hamvielewi kwani hayo matukio sasa hivi hakuna ?Kwann litolewe la chato? Yaani mbowe awaue watu kipindi cha yule JUHA angemuacha???
Yapo wapi? Huwezi kukuta watu waungwana wanna, kutesa na kutekatu. Wengine muishie kwenu BURUNDIKuna vitu hamvielewi kwani hayo matukio sasa hivi hakuna ?
Mkuu ongea na viongozi wa CHADEMA wakusanye ushahidi ili wafungue kesi dhidi ya Jamhuri atleast ndugu wapate chochote .Kwann litolewe la chato? Yaani mbowe awaue watu kipindi cha yule JUHA angemuacha???
Mm singer na chadema. Tulishaongea na mungu muweza wa yote akatenda ukiongea nao wewe inatosha ila bwana ametenda mzeeMkuu ongea na viongozi wa CHADEMA wakusanye ushahidi ili wafungue kesi dhidi ya Jamhuri atleast ndugu wapate chochote .
But still 1-1Mm singer na chadema. Tulishaongea na mungu muweza wa yote akatenda ukiongea nao wewe inatosha ila bwana ametenda mzee
Nje ya kichaka hata sungura hawezi kukurupukaHoja zijibiwe?
Nani walimshambulia Tundu lisu?
Nani alimuua akwilin?
Yupo wapi Ben na ANZORY GWANDA?
Tuanzie hapa?
Kwann uwanja wa ndege chatto na siyo geita?
Kwann ASSADalifurushwa kazi???