PreGE2025 CHADEMA kajiandikisheni kwenye vituo, hiyo No Reforms No elections, ni kukubali kushindwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585
20250321_104702.jpg

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Huwa wanajazana ujinga sana mwanzoni, ukifika wakat wa uchagyzi utaskia "tunza kichinjio chako, mchague kamanda fulani; kwa watu ambao mwanzoni waliwaambia wasijitokez, kwenye uchaguzi wa Serilali za Mitaa hivyo hivyo mwishoooni haooo wanataka..
 
Mwaka huu Chadema wameamua kushindwa mapema kabisa. Samia keshapita katikati yao akielekea Galilaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nchi hii upumbavu ipo kiwango cha juu sana. Kama mwaka 2020 walipata Mbunge mmoja na wagombea wao wanazuiliwa njiani wakiwa wanarudisha fomu ya kugombea kwenye ofisi za umma lakini bado wewe unaamini bila mabadiliko wakishiriki watashinda?

Bahati nzuri CHADEMA wamewaachia vyama vingine nao waendelee na uchanguzi kama hawataki kurekebisha matatizo ya siku zote.
 
View attachment 3278462

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Huwa wanajazana ujinga sana mwanzoni, ukifika wakat wa uchagyzi utaskia "tunza kichinjio chako, mchague kamanda fulani; kwa watu ambao mwanzoni waliwaambia wasijitokez, kwenye uchaguzi wa Serilali za Mitaa hivyo hivyo mwishoooni haooo wanataka..
Mkuu wahenga walisema, "usimwamshe aliyelala,......"!
 
wanalazimisha kitu amabcho hakiwezekani uchaguzi upo ki sheria na kikatiba utavunjaje katiba ya nchi kwa kuzuia uchaguzi huo ni ssawa na uhaini,hata wenzao wanashindwa kkuwaelewa hawajui wagombee ubunge au wasigombee yaani chadema sasa hivi inaongozwa na kichaaaa
 
Mtu mjinga tu ndio ataendelea kushiriki kwenye chaguzi za kishenzi huku, akiachwa na vilema vya kudumu, kuuwawa na kuporwa kura zake. Kuliko cdm ishiriki kwenye chaguzi ambazo ccm wana matokeo mfukoni, ni bora cdm ife kabisa kuliko kuhalalisha ccm kukaa madarakani kwa shuruti.
 
chadema walikosea na wanakosea kusema watu wasijiandikishe, kwa ufupi wanajifuta kwenye ramani watakuja shtuka kila kitu CCM
 
View attachment 3278462

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Huwa wanajazana ujinga sana mwanzoni, ukifika wakat wa uchagyzi utaskia "tunza kichinjio chako, mchague kamanda fulani; kwa watu ambao mwanzoni waliwaambia wasijitokez, kwenye uchaguzi wa Serilali za Mitaa hivyo hivyo mwishoooni haooo wanataka..
Wananchi wanapaswa kuelewa mbali na uchaguzi kitambulisho cha KURA kinamtambulisha mhusika maeneo mbalimbali kama vile Usaili, Rita kwa ajili ya kupata Cheti cha kuzaliwa na ni supportive document NIDA, MIGRATION etc.

Mwananchi Kajiandikishe Dar es Salam Mwisho ni tarehe 23.03.2025.
Akina Mama mnajua umuhimu wa hiki kitambulisho pale ASA, SUNRISE, PRIDE, SUPREME, BRAC etc.

Vijana wa emergency CASHOUT MEN pale Mahakamani mnajua mchongo huu.

Nawasihi kajiandikishe kwa ajili ya Uchaguzi pia mambo yetu ya WAVUNJA KUNI.
 
View attachment 3278462

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Huwa wanajazana ujinga sana mwanzoni, ukifika wakat wa uchagyzi utaskia "tunza kichinjio chako, mchague kamanda fulani; kwa watu ambao mwanzoni waliwaambia wasijitokez, kwenye uchaguzi wa Serilali za Mitaa hivyo hivyo mwishoooni haooo wanataka..
Kwani aliyekuambia Chadema hawajiandikishi ni nani?
 
kama CHADEMA hawajulikani, sasa povu la nini? si uendelee na mishe zako?
 
Wewe lazima ni mgonjwa. Waombe ndugu wakudaidie kwenyr matibabu sahihi.
Brain cripple, your main health problem.
 
Hao waliojiandikisha ni watu gani mkuu, unasema CHADEMA wakajiandikishe kana kwamba wao siyo wananchi au hao wananchi unasema wanajiandikisha tayari mmeshakubaliana watawachagua viongozi gani?
Swali zuri sana, kwamba hao wanaojiandikisha kwa maoni yake inaonekana wote ni CCM!! 🤣 🤣
 
Nchi hii upumbavu ipo kiwango cha juu sana. Kama mwaka 2020 walipata Mbunge mmoja na wagombea wao wanazuiliwa njiani wakiwa wanarudisha fomu ya kugombea kwenye ofisi za umma lakini bado wewe unaamini bila mabadiliko wakishiriki watashinda?

Bahati nzuri CHADEMA wamewaachia vyama vingine nao waendelee na uchanguzi kama hawataki kurekebisha matatizo ya siku zote.
Huwezi kuleta reform ukiwa nje ya mfumo. Na reform ni process siyo zoezi la siku moja. Angalia Kenya akina Raila Odinga walikuwa wapinzani, akaingia KANU ya MOI then akatoka. Baada ya kutoka tu na KANU ikashindwa.

Nyinyi badala ya muhamsishe watu wakajiandikishe, nyie mnasema No eletions!! Msipoingia bungeni hakuna kitu mtapata.
 
View attachment 3278462

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Huwa wanajazana ujinga sana mwanzoni, ukifika wakat wa uchagyzi utaskia "tunza kichinjio chako, mchague kamanda fulani; kwa watu ambao mwanzoni waliwaambia wasijitokez, kwenye uchaguzi wa Serilali za Mitaa hivyo hivyo mwishoooni haooo wanataka..
Huu ndio unaitwa uandishi wa mihemko ya uchawa!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
wanalazimisha kitu amabcho hakiwezekani uchaguzi upo ki sheria na kikatiba utavunjaje katiba ya nchi kwa kuzuia uchaguzi huo ni ssawa na uhaini,hata wenzao wanashindwa kkuwaelewa hawajui wagombee ubunge au wasigombee yaani chadema sasa hivi inaongozwa na kichaaaa
Kuna maeneo nchi hii, wanajua Chadema ni moja ya vyama vinavyoibuka tu nyakati za uchaguzi.

Na kuna maeneo hapa Tz, hiyo slogan ya Chadema itawafanya wananchi wawashangae na kuwadharau Chadema na viongozi wao kwa kuwa mazingira yao hawajawahi kuwa na friction na serikali
 
Mtu mjinga tu ndio ataendelea kushiriki kwenye chaguzi za kishenzi huku, akiachwa na vilema vya kudumu, kuuwawa na kuporwa kura zake. Kuliko cdm ishiriki kwenye chaguzi ambazo ccm wana matokeo mfukoni, ni bora cdm ife kabisa kuliko kuhalalisha ccm kukaa madarakani kwa shuruti.
Tundu Lissu alibaki kula bata Angola kwa pesa za Tone Tone zikiisha atarudi kuwachangisha tena wanachama wake
 
Back
Top Bottom