PreGE2025 CHADEMA kajiandikisheni kwenye vituo, hiyo No Reforms No elections, ni kukubali kushindwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwaka huu Chadema wameamua kushindwa mapema kabisa. Samia keshapita katikati yao akielekea Galilaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sa100 tumewaachia GenZ wa kenya kwanza washughulike naye

tunataka awe mpole kama Ruto

na yeye aombe msamaha kwa familia za Mdude, Kibao, Soka, na wengine walioumizwa, kupotezwa na kuuawa
 
Ha
View attachment 3278462

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Huwa wanajazana ujinga sana mwanzoni, ukifika wakat wa uchagyzi utaskia "tunza kichinjio chako, mchague kamanda fulani; kwa watu ambao mwanzoni waliwaambia wasijitokez, kwenye uchaguzi wa Serilali za Mitaa hivyo hivyo mwishoooni haooo wanataka..
Hao nyumbu wameshajitoa kwenye uchaguzi labda uchaguzi wa 2030, ndio maana wameitwa nyumbu
 
Nchi hii upumbavu ipo kiwango cha juu sana. Kama mwaka 2020 walipata Mbunge mmoja na wagombea wao wanazuiliwa njiani wakiwa wanarudisha fomu ya kugombea kwenye ofisi za umma lakini bado wewe unaamini bila mabadiliko wakishiriki watashinda?

Bahati nzuri CHADEMA wamewaachia vyama vingine nao waendelee na uchanguzi kama hawataki kurekebisha matatizo ya siku zote.
We unataka kulazimisha matokeo? Huyo wa Nkasi ndiyo amechaguliwa na wananchi maeneo mengine kura hazikutosha. Msilazimishe ushindi, yale mahudhurio kwenye mikutano isiwadanganye siasa ni sayansi.
 
View attachment 3278462

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.

Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.

Huwa wanajazana ujinga sana mwanzoni, ukifika wakat wa uchagyzi utaskia "tunza kichinjio chako, mchague kamanda fulani; kwa watu ambao mwanzoni waliwaambia wasijitokez, kwenye uchaguzi wa Serilali za Mitaa hivyo hivyo mwishoooni haooo wanataka..
wanajazana ujinga huko mtaani tuko busy mm siku niliyoenda kujiandikisha nilikuta foleni kubwa lkn nikasubiri ili tu siku ya kupiga kura nimpigie Samia
 
Wana chadema na wapenzi wa demokrasia bila kujali chama hawawezi ibiwa kura, kwa kuwa awata shiriki uchaguzi kupiga kura! Hivyo usiwe na wasi wasi kwani matokeo nani atatangazwa inajulikana!
 
Wananchi wanapaswa kuelewa mbali na uchaguzi kitambulisho cha KURA kinamtambulisha mhusika maeneo mbalimbali kama vile Usaili, Rita kwa ajili ya kupata Cheti cha kuzaliwa na ni supportive document NIDA, MIGRATION etc.

Mwananchi Kajiandikishe Dar es Salam Mwisho ni tarehe 23.03.2025.
Akina Mama mnajua umuhimu wa hiki kitambulisho pale ASA, SUNRISE, PRIDE, SUPREME, BRAC etc.

Vijana wa emergency CASHOUT MEN pale Mahakamani mnajua mchongo huu.

Nawasihi kajiandikishe kwa ajili ya Uchaguzi pia mambo yetu ya WAVUNJA KUNI.
Visingizio ili watu wajiandikishe na ndo inayopeleka watu kwenye kitabu chawapigakura. Je kitambulisho cha moiga kura na kitambulisho cha NIDA kipi bora kwa mambo uliotaja?
 
We unataka kulazimisha matokeo? Huyo wa Nkasi ndiyo amechaguliwa na wananchi maeneo mengine kura hazikutosha. Msilazimishe ushindi, yale mahudhurio kwenye mikutano isiwadanganye siasa ni sayansi.
Watu wanazingumzia watumishi kufunga na kukiambia ofisi za umma ili wasipokee fomu, wewe unajipotosha.
 
Back
Top Bottom