PreGE2025 CHADEMA kajiandikisheni kwenye vituo, hiyo No Reforms No elections, ni kukubali kushindwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hamasisheni wananchi kwenda kuhakiki daftari la mpiga kura kuliko huo uhuni wenu wa No Reforms No Elections. HAMUWEZI KUTOBOA na Lissu ndiyo huyo kazi kujirusha Uganda na Angola na fedha za tone tone
 
Hamasisheni wananchi kwenda kuhakiki daftari la mpiga kura kuliko huo uhuni wenu wa No Reforms No Elections. HAMUWEZI KUTOBOA na Lissu ndiyo huyo kazi kujirusha Uganda na Angola na fedha za tone tone
Tuhamasishe wananchi kwenda kuhakiki majina kwa ajili ya hizi chaguzi za kipuuzi?
 
Maisha yanaendelea tu hata tusipopiga kura muhimu amani.
Dunia Haina huruma na watu masikini
 
Pumbavu
 
Upuuzi mtupu.
watanzania watajitokeza kwa wingi kupiga kura October 2025.
 
Upuuzi mtupu.
watanzania watajitokeza kwa wingi kupiga kura October 2025.
watapiga kura ndio, ila hawatajua idadi ya kura walizopiga, watatangaziwa tu aliyeshinda kwa bao la mkono
 
Nchi tumejaliwa kuwa na vijana wajinga sana.
Wajinga hasa. Lissu kaingia kaanza na tone tone. Halafu kazi yake kusafiri tu kutumbua hizo tonetone. Alikuwa Uganda last month, then last week Angola na jana alikuwa Kenya na wenzie akina Lema na Heche.

 
Hamasisheni wananchi kwenda kuhakiki daftari la mpiga kura kuliko huo uhuni wenu wa No Reforms No Elections. HAMUWEZI KUTOBOA na Lissu ndiyo huyo kazi kujirusha Uganda na Angola na fedha za tone tone
Ngoja tuone hiyo OKTOBA
 
Wajinga hasa. Lissu kaingia kaanza na tone tone. Halafu kazi yake kusafiri tu kutumbua hizo tonetone. Alikuwa Uganda last month, then last week Angola na jana alikuwa Kenya na wenzie akina Lema na Heche.

View attachment 3280279
tuliochanga wala hatulalamiki kwani ndicho tulichachangia
 
Finally ni kuwa kura zetu zimeibiwa.
 
Kwani ni unazani CDM hawana vitambulisho vya kupigia kura huo msemo ni kuleta aware kwa watu tu wajitambue Chadema wote wanavitambulish,, ho vya kupiga kura illa si CDM tu ila hata CCM hakuna mtu mwenye akili asiye na maslai ya moja kwa moja atakwenda kupiga kura uchaguzi huu. CCM watapita bila mapingamizi yoyotte ncho nzima.
 
Kwisha kazi yao:-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…