kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Mpaka Sasa watanzania walioichoka CCM wameteseka sana na kupoteza rasilimali zao fedha, muda na nguvukazi nyingi kuunga upinzani na wapinzani wajasiliamali wa kisiasa wasaka fedha na mapandikizi wasiokuwa wapinzani.
Chadema kufurugika Sasa halkina tofauti na vilivyovurugika NCCR CUF na TLP. Hii inawasaidia watanzania kuendelea kukomaa kisiasa. Iko siku wataunda chama cha siasa chenye hadhi ya chama cha siasa mbadala cha kwelikweli. Na chama hicho kitatokana na CCM yenyewe kumeguka.