Unawasema hivyo Watanzania ukiwa umejitenga nao na kuwaangalia kutoka juu ya mti au unajiunganisha nao?Mpaka Sasa watanzania walioichoka CCM wameteseka sana na kupoteza rasilimali zao fedha, muda na nguvukazi nyingi kuunga upinzani na wapinzani wajasiliamali wa kisiasa wasaka fedha na mapandikizi wasiokuwa wapinzani.
Chadema kufurugika Sasa halkina tofauti na vilivyovurugika NCCR CUF na TLP. Hii inawasaidia watanzania kuendelea kukomaa kisiasa. Iko siku wataunda chama cha siasa chenye hadhi ya chama cha siasa mbadala cha kwelikweli.
Chadema haitofikia na haijoshula level hizo kwa sasa. Bado kuna safari ndefu sanaMpaka Sasa watanzania walioichoka CCM wameteseka sana na kupoteza rasilimali zao fedha, muda na nguvukazi nyingi kuunga upinzani na wapinzani wajasiliamali wa kisiasa wasaka fedha na mapandikizi wasiokuwa wapinzani.
Chadema kufurugika Sasa halkina tofauti na vilivyovurugika NCCR CUF na TLP. Hii inawasaidia watanzania kuendelea kukomaa kisiasa. Iko siku wataunda chama cha siasa chenye hadhi ya chama cha siasa mbadala cha kwelikweli. Na chama hicho kitatokana na CCM yenyewe kumeguka.
Nimo ndani yake. Hebu ona wabunge wa upinzani wamekuwa matajiri sawa tu na wabunge wa CCM. Wona majumba, mahoteli, magari makubwa ya gharama, mashamba, watoto kusoma Ulaya na Marekanani nk. Hawajengi vyama wanajenga maisha yao, yaani wamepata ajira sawa na wabunge wa CCM tu.Unawasema hivyo Watanzania ukiwa umejitenga nao na kuwaangalia kutoka juu ya mti au unajiunganisha nao?
Waangalie chadema wa Sasa walivyogawanyika. Kuna makundi kama 4 hivi ya wale wanaotumiwa na CCM, wanaotumiwa na wazungu, wapinzani halisi na wanaotarajia kugombea wapate ajira. Hakuna upinzani so serious. Wanawazunga watu walioichoka CCM kwelikweli bila sababu au wakiwa na sababu zao za kuchoka.Chadema haitofikia na haijoshula level hizo kwa sasa. Bado kuna safari ndefu sana
Hili lili ridhihirika tokea uchaguzi wao, its seems hawakutarajia kuwa lissu angeshinda, lissu of all people alijua hayaWaangalie chadema wa Sasa walivyogawanyika. Kuna makundi kama 4 hivi ya wale wanaotumiwa na CCM, wanaotumiwa na wazungu, wapinzani halisi na wanaotarajia kugombea wapate ajira. Hakuna upinzani so serious. Wanawazunga watu walioichoka CCM kwelikweli bila sababu au wakiwa na sababu zao za kuchoka.
Na CCM Mbona husemi wanatumiwa na Warusi na Wakorea?Waangalie chadema wa Sasa walivyogawanyika. Kuna makundi kama 4 hivi ya wale wanaotumiwa na CCM, wanaotumiwa na wazungu, wapinzani halisi na wanaotarajia kugombea wapate ajira. Hakuna upinzani so serious. Wanawazunga watu walioichoka CCM kwelikweli bila sababu au wakiwa na sababu zao za kuchoka.
Kwasasa usihangaike na vyama vya upinzani kaka yangu labda kama unataka kugombea (ajira), unalipwa na wazungu (propaganda) au unatumiwa na Serikali ndani ya vyama (usalama wa nchi).Chadema haitofikia na haijoshula level hizo kwa sasa. Bado kuna safari ndefu sana
"birds of a feather flock together"Mpaka Sasa watanzania walioichoka CCM wameteseka sana na kupoteza rasilimali zao fedha, muda na nguvukazi nyingi kuunga upinzani na wapinzani wajasiliamali wa kisiasa wasaka fedha na mapandikizi wasiokuwa wapinzani.
Chadema kufurugika Sasa halkina tofauti na vilivyovurugika NCCR CUF na TLP. Hii inawasaidia watanzania kuendelea kukomaa kisiasa. Iko siku wataunda chama cha siasa chenye hadhi ya chama cha siasa mbadala cha kwelikweli. Na chama hicho kitatokana na CCM yenyewe kumeguka.
Kwa level ya maisha niliyonayo na nchi niliyopo sigitaji politics kuendesha maisha yangu. sijawah kuwa involved na kugombea or anything like thatKwasasa usihangaike na vyama vya upinzani kaka yangu labda kama unataka kugombea (ajira), unalipwa na wazungu (propaganda) au unatumiwa na Serikali ndani ya vyama (usalama wa nchi).
Kama hivi unadhani wewe Lipumba ni mpinzani wa kwelikweli? Mbona bado yupo na cuf imekwenda alijojo? Mtema lyatonga si alibaki hadi mwisho? Kakaaa, waliobaki chadema wamo na waliokwenda CHAUMMA wamo pia, no safe zone.Hili lili ridhihirika tokea uchaguzi wao, its seems hawakutarajia kuwa lissu angeshinda, lissu of all people alijua haya
Kampaign ya no reform no election imewafanya watoke chadema bila kuwa forced.
Ni advantage kwao sasa watabakia na chama kinacho run kikiwa na wanachama wasio na pande , interest au mapandikizi ya ccm
Kama unataka kuona nchi inachage tumia utulivu uliopo nchini kufuga Bata wengi uuze ndani na nje ya nchi.Kwa level ya maisha niliyonayo na nchi niliyopo sigitaji politics kuendesha maisha yangu. sijawah kuwa involved na kugombea or anything like that
Ni above that, just tu naipenda nchi na nataman kuona ina change
Lipumba na case ya lissu ni very very different.Kama hivi unadhani wewe Lipumba ni mpinzani wa kwelikweli? Mbona bado yupo na cuf imekwenda alijojo? Mtema lyatonga si alibaki hadi mwisho? Kakaaa, waliobaki chadema wamo na waliokwenda CHAUMMA wamo pia, no safe zone.
"birds of same feather flock together"Nimo ndani yake. Hebu ona wabunge wa upinzani wamekuwa matajiri sawa tu na wabunge wa CCM. Wona majumba, mahoteli, magari makubwa ya gharama, mashamba, watoto kusoma Ulaya na Marekanani nk. Hawajengi vyama wanajenga maisha yao, yaani wamepata ajira sawa na wabunge wa CCM tu.