Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, kamwe, kamwe usiyumbishwe na hawa jamaa wanaojiita G.55.
Nikuombe usihangaike nao. Hapa ni kwamba, No reforms No election imeshaanza kubisha hodi kwa mahasimu wetu. Hapa pana kitu nyuma ya pazia. Hii ni mbinu ya kujaribu kukutoa kwenye reli. Simama imara mpaka mwisho.
Soma Pia: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi
Kundi hili litajifia lenyewe baada ya muda mfupi sana. Hawa wameshajikabidhi tayari kwa watawala. Kwa hiyo usipoteze muda sana kuhangaika nao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni mara mia moja zaidi chama kibaki na wanachama wachache wenye uwezo na uthubutu wa kuipinga na kupambana na ukandamizaji wa watawala. Hata Yesu alisalitiwa, itakuwa sisi?