Sa watazunguka nchi nzma kwa mlango wa chama gn sasa wkt viongoz wakuu wote hawawatambui means chama hakiwatambui, alishndwa zitto kabwe sembuse hawa makanyaboya....labda kama watatengenezewa movie na maccm yawe yanajfanya ni chadema at last hawa hawatoboi.