CHADEMA Kanda ya Kati: Tunahitaji Tundu Lissu awe huru, Haki inachelewa kupatikana

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
CHADEMA Dodoma Yatia Shaka Mwenendo wa Kesi ya Tundu Lissu 'Haki Inachelewa Kupatikana' wakiendelea kusema wanahitaji Mwenyekiti wao Tundu Lissu awe huru kwa sababu kesi iliyomuweka ndani mwaka mmoja na mwezi ni kesi ya kubabikiziwa.

Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Ashura Masoud wakati akizungumza na waandishi wa habari Mei 19, 2026

kama walivyo watuhumiwa wengine wanaosota korokoroni, wakisubiri mashauri yao kuitishwa mahakani,
hivyo hivyo huyo kibaraka anastahili kusubiri na ataendelea kusota huko mpaka pale shauri lake litakapoitishwa mahakamani.

Mahakama huru za Tanzania,
kamwe haziwezi kushinikizwa au kuelekezwa na mtuhumiwa yeyote alie mahabusu, namna ya kufanya kazi zake au kuendesha kesi yake.

ni vizuri chadema wakawa na adabu, utii na heshima kwa sheria na katiba ya nchi yetu.
 
Dhambi ya mauwaji... mhusika ni mwenyekiti wa CCM

Dhambi ya utekaji...M/kiti wa CCM

Dhambi ya kusweka ndani watu wasio na hatia...M/kiti wa CCM

Dhambi ya kuruhusu mafisafi kuchota Kodi za Watanzania na kuwafanya watanzania wawe na maisha ya kujuta....M/kiti wa CCM

Dhambi ya kukata vichwa watu...M/kiti wa CCM

Shetani...! hatumtaki mtu wako huyu beba mwenyewe uende naye Jehanam
 
kama walivyo watuhumiwa wengine wanaosota korokoroni, wakisubiri mashauri yao kuitishwa mahakani,
hivyo hivyo huyo kibaraka anastahili kusubiri na ataendelea kusota huko mpaka pale shauri lake litakapoitishwa mahakamani.

Mahakama huru za Tanzania,
kamwe haziwezi kushinikizwa au kuelekezwa na mtuhumiwa yeyote alie mahabusu, namna ya kufanya kazi zake au kuendesha kesi yake.

ni vizuri chadema wakawa na adabu, utii na heshima kwa sheria na katiba ya nchi yetu.
Nakuunga mkono ata Abdul amesema hivyo
 
Back
Top Bottom