Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
kama walivyo watuhumiwa wengine wanaosota korokoroni, wakisubiri mashauri yao kuitishwa mahakani,CHADEMA Dodoma Yatia Shaka Mwenendo wa Kesi ya Tundu Lissu 'Haki Inachelewa Kupatikana' wakiendelea kusema wanahitaji Mwenyekiti wao Tundu Lissu awe huru kwa sababu kesi iliyomuweka ndani mwaka mmoja na mwezi ni kesi ya kubabikiziwa.
Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Ashura Masoud wakati akizungumza na waandishi wa habari Mei 19, 2026
Nakuunga mkono ata Abdul amesema hivyokama walivyo watuhumiwa wengine wanaosota korokoroni, wakisubiri mashauri yao kuitishwa mahakani,
hivyo hivyo huyo kibaraka anastahili kusubiri na ataendelea kusota huko mpaka pale shauri lake litakapoitishwa mahakamani.
Mahakama huru za Tanzania,
kamwe haziwezi kushinikizwa au kuelekezwa na mtuhumiwa yeyote alie mahabusu, namna ya kufanya kazi zake au kuendesha kesi yake.
ni vizuri chadema wakawa na adabu, utii na heshima kwa sheria na katiba ya nchi yetu.
tuliza kipago mfuata mkumbo useless plzNakuunga mkono ata Abdul amesema hivyo
Vipi tena. Mi nakuunga mkono na ata Abdul amesapoti unachosema. Uko sahihi kabisatuliza kipago mfuata mkumbo useless plz