Freshthinking
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 621
- 108
Ndugu masalia kama unafurahia jinsi tume ya katiba inavyochakachua maoni ya wananchi kuhusu katiba basi endelea na uasi wako.
Mimi nimeshajiandaa kupiga kura ya hapana dhidi ya katiba mpya ya tume, ninachoendelea kufanya kwa sasa ni kuwahamasisha wananchi wenzangu tujiandae kuikataa katiba ya tume kwa kuipigia kura ya hapana.
.
Baeleze, waambie, tell them, Bhatebhi mwita weito.Ndugu masalia kama unafurahia jinsi tume ya katiba inavyochakachua maoni ya wananchi kuhusu katiba basi endelea na uasi wako.
Mimi nimeshajiandaa kupiga kura ya hapana dhidi ya katiba mpya ya tume, ninachoendelea kufanya kwa sasa ni kuwahamasisha wananchi wenzangu tujiandae kuikataa katiba ya tume kwa kuipigia kura ya hapana.
Kwakuwa bado unazongwa na usaliti ulioufanya dhidi ya chama ndo maana sasa umeanzisha mkakati wa kupinga kila kinachofanywa ama kusemwa na viongozi wetu ili kujaribu kuwin public sympathy!its too late kamanda safari hii huchomoki...
Huo mzimu unakutesa sana! Sasa CHADEMA walikwenda ikulu kukubaliana kitu gani na Rais?
Nilifikiri CHADEMA ingewaanda wananchi kutoa mawazo na kuyasimamia. Hiyo katiba ya CHADEMA itaandaliwa na na nani wakati huo?
Mwita,Mimi nimeshajiandaa kupiga kura ya hapana dhidi ya katiba mpya ya tume, ninachoendelea kufanya kwa sasa ni kuwahamasisha wananchi wenzangu tujiandae kuikataa katiba ya tume kwa kuipigia kura ya hapana.