CHADEMA KATIKA MKAKATI WA KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA NA WAMACHINGA
Utulivu wa Wamachinga katika majiji umezidi kukipa wakati Mgumu Chama Cha CHADEMA maana walishajipanga kuhakikisha Wamachinga wanaingia Barabarani kupinga utaratibu wa Serikali katika kuwapanga Wamachinga ili wafanye biashara kwa uhuru katika maeneo mazuri
Hali hiyo imepelekea CHADEMA kumrudisha Kada na aliyekuwa Kiongozi wa CHADEMA ndugu Zeche Zabroni Kurudi katika harakati za kujifanya Mmachinga wakati si kweli lengo likiwa kuanzisha vurugu katika vyama vya Wamachinga akijiita Msemaji wa Wamachinga Taifa lengo likiwa kuhakikisha majiji makubwa yote kuna kosa utulivu kwa kuratibu mazoezi ya kutangaza kuvuliwa uongozi kwa baadhi ya viongozi katika Mikoa.
Ndugu. Zeche Zabroni kwa wasiemjua alikuwa miongoni Mwa KIKOSI KAZI maalum cha CHADEMA kinachoratibu maandamano na vurugu kwa kanda ya nyanda za juu Kusini.
Pia Mwanzoni alipenya katika uongozi wa Wamachinga Mkoa wa Iringa mara baada ya kujulikana Kazi yake aliamua kujiuzulu na kuandika barua kuwa amejiuzulu kwa sababu haoni kinachofanyika chini ya serikali ya CCM na kujiunga katika harakati za kudai katiba Mpya ndio itakuwa mkombozi kwa Wamachinga.
Taadhari kubwa Inabidi kuchukuliwa kwa wakuu wa Mikoa kujiingiza katika mgogoro uliosukwa kimkakati wenye lengo la kuharibu dhamira ya dhati ya Rais Samia kuwa komboa Wamachinga Nchini.
Ijulikane kuwa kwa Upande wa CHADEMA hawapendi wakiona Wamachinga wanawezeshwa ili kujikwamua kiuchumi.
Siku chache nyuma Rais Ametoa kiasi cha shilingi Milioni 10 kila Mkoa Kwa ajili ya ofisi za Wamachinga haya hawayataki kusikia ndio maana kumezuka mgogoro wa kimkakati kuonyesha Wamachinga hawapo pamoja kumbe ni Mbinu za KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA na Wamachinga.
Angalizo kwa Wizara inayoratibu na kuwasimamia Wamachinga watambue umakini wao ni muhimu Sana katika wakati huu wa kutekeleza dhamira ya dhati ya Rais kuwakomboa Wamachinga Nchini.
Leo tunaona Wamachinga wamejitambua wanataka kujikwamua kupitia dhamira ya Mhe. Rais Samia ya kuwatengenezea na mazingira mazuri ya uwezeshaji kwa Wamachinga.