CHADEMA imechagua kusema ukweli bila kubembeleza mtu au kikundi cha watu, eti hawa ni waalimu tusiwachokoze watatunyima kura waacheni hawa bodaboda ni jeshi kubwa litatunyima kura.
Ukweli usemwe bodaboda sio ajira ni laana wachukie wasichukie, ruzuku chukueni ni haki yenu, Mwenyekiti wa CCM mkaribisheni ni Rais wa wote, ikulu nendeni hata ikibidi mkalale huko huko anayechukia na achukie.
Enzi za kubembelezana zimekwisha, eti tukifanya hivi chama kitakimbiwa na wanachama, hata Slaa na akina Mdee wakiomba radhi wakaribishwe.
Hao hao wanaosema mmelambishwa asali ndio hao hao waliokuwa wakiwacheka na kuwadhihaki mlipokuwa mnapandishwa karandinga.
Chama kiliumizwa sana hakuna mikutano wala vikao, viongozi waliumizwa sana, hivi kuna bodaboda yeyote aliyeandamana mlipo haribiwa biashara zenu mashamba yenu, kuna mwalimu yeyote alipaza sauti mlipopigwa risasi mlipowekwa mahabusu.
Fanyeni siasa mnazoona ni faida kwa chama na kwenu binafsi bila kuangalia mtamfurahisha nani na nani atachukia.