- Thread starter
- #21
Hata kama wapo hayo ni matokeo ya laana ya chama tawala kushindwa kutengeneza ajira rasmi.Huyo Lema na ukoo wake wote, na nyie CHADEMA wote mpo tabaka la juu... Hakuna wanachama wenu ambao ni bodaboda!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama wapo hayo ni matokeo ya laana ya chama tawala kushindwa kutengeneza ajira rasmi.Huyo Lema na ukoo wake wote, na nyie CHADEMA wote mpo tabaka la juu... Hakuna wanachama wenu ambao ni bodaboda!!?
Huyo Lema na ukoo wake wote, na nyie CHADEMA wote mpo tabaka la juu... Hakuna wanachama wenu ambao ni bodaboda!!?
😁kaendeshe bodaboda ufe jinga wewe.
Sasa kama mmeshindwa kuondoa laana za koo na chama chenu, tukiwapa nchi ndio mtaiweza kweli!!?Hata kama wapo hayo ni matokeo ya laana ya chama tawala kushindwa kutengeneza ajira rasmi.
Sijui kuhusu ukoo wake; lakini ninavyojua ni kuwa: Tanzania (kama ilivyo nchi zote duniani) kuna wananchi wa matabaka yote: juu, kati na chini.Ukoo wa yule bwana ako Jiwe kuna boda boda?! Ccm acheni kufanya watz mbumbumbu.
Boda boda ni kazi ya hovyo Ndio maana huwezi Mtoto wa kigogo ameegesha kalio anaendesha boda boda
Nitajie mtoto wa kigogo ambaye ni mtendaji wa kijiji/Kata/mtaa kama hakuna mwenye kazi hiyo basi kazi ya utendaji wa mtaa/kijiji/Kata ni kazi za laana kwa CDMUkoo wa yule bwana ako Jiwe kuna boda boda?! Ccm acheni kufanya watz mbumbumbu.
Boda boda ni kazi ya hovyo Ndio maana huwezi Mtoto wa kigogo ameegesha kalio anaendesha boda boda
Nyie Ccm ndio mmejipa tabaka tawala huku watoto wa tabaka tawaliwa mnawasukumiza kwenye kazi hatarishi kama kuendesha bodaboda huku mkiwadanganya kuwa ni ajira rasmi.Sijui kuhusu ukoo wake; lakini ninavyojua ni kuwa: Tanzania (kama ilivyo nchi zote duniani) kuna wananchi wa matabaka yote: juu, kati na chini.
Hao hao wanaosema mmelambishwa asali ndio hao hao waliokuwa wakiwacheka na kuwadhihaki mlipokuwa mnapandishwa karandinga.CHADEMA imechagua kusema ukweli bila kubembeleza mtu au kikundi cha watu, eti hawa ni waalimu tusiwachokoze watatunyima kura waacheni hawa bodaboda ni jeshi kubwa litatunyima kura.
Ukweli usemwe bodaboda sio ajira ni laana wachukie wasichukie, ruzuku chukueni ni haki yenu, Mwenyekiti wa CCM mkaribisheni ni Rais wa wote, ikulu nendeni hata ikibidi mkalale huko huko anayechukia na achukie.
Enzi za kubembelezana zimekwisha, eti tukifanya hivi chama kitakimbiwa na wanachama, hata Slaa na akina Mdee wakiomba radhi wakaribishwe.
Hao hao wanaosema mmelambishwa asali ndio hao hao waliokuwa wakiwacheka na kuwadhihaki mlipokuwa mnapandishwa karandinga.
Chama kiliumizwa sana hakuna mikutano wala vikao, viongozi waliumizwa sana, hivi kuna bodaboda yeyote aliyeandamana mlipo haribiwa biashara zenu mashamba yenu, kuna mwalimu yeyote alipaza sauti mlipopigwa risasi mlipowekwa mahabusu.
Fanyeni siasa mnazoona ni faida kwa chama na kwenu binafsi bila kuangalia mtamfurahisha nani na nani atachukia.
Tulieni basi dawa iwaingieMmeshikwa pabaya
Ajira rasmi ni nini? Ina vigezo gani? Then husianisha na bodaboda.Nyie Ccm ndio mmejipa tabaka tawala huku watoto wa tabaka tawaliwa mnawasukumiza kwenye kazi hatarishi kama kuendesha bodaboda huku mkiwadanganya kuwa ni ajira rasmi.
Tengenezi mazingira mazuri ya vijana kujiajiri uone kama kutakua na utitiri wa bodaboda mitaani
Mbowe: Tunawaomba CCM muwe mnatuteulia Wagombea Urais wazuri!Tulieni basi dawa iwaingie