CHADEMA katika uhalisia wake

Huyo Lema na ukoo wake wote, na nyie CHADEMA wote mpo tabaka la juu... Hakuna wanachama wenu ambao ni bodaboda!!?

Ukoo wa Jiwe kuna boda boda?! Ccm acheni kufanya watz mbumbumbu.

Boda boda ni kazi ya hovyo Ndio maana huwezi Mtoto wa kigogo ameegesha kalio anaendesha boda boda
 
Umenena vizuri sana, ukiacha mataga wanachama ambao hawapendezwi na mwenendo wa CDM wanaweza kuhamia vyama vingine, viko vingi sana. Au waanzishe chama chao kwa sababu Tanzania ni rahisi sana kuanzisha chama cha siasa.
 
Hata kama wapo hayo ni matokeo ya laana ya chama tawala kushindwa kutengeneza ajira rasmi.
Sasa kama mmeshindwa kuondoa laana za koo na chama chenu, tukiwapa nchi ndio mtaiweza kweli!!?
 
Ukoo wa yule bwana ako Jiwe kuna boda boda?! Ccm acheni kufanya watz mbumbumbu.

Boda boda ni kazi ya hovyo Ndio maana huwezi Mtoto wa kigogo ameegesha kalio anaendesha boda boda
Sijui kuhusu ukoo wake; lakini ninavyojua ni kuwa: Tanzania (kama ilivyo nchi zote duniani) kuna wananchi wa matabaka yote: juu, kati na chini.
 
Ukoo wa yule bwana ako Jiwe kuna boda boda?! Ccm acheni kufanya watz mbumbumbu.

Boda boda ni kazi ya hovyo Ndio maana huwezi Mtoto wa kigogo ameegesha kalio anaendesha boda boda
Nitajie mtoto wa kigogo ambaye ni mtendaji wa kijiji/Kata/mtaa kama hakuna mwenye kazi hiyo basi kazi ya utendaji wa mtaa/kijiji/Kata ni kazi za laana kwa CDM
Nitajie mtoto wa kigogo ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi kama hakuna kazi ya ualimu washule ya msingi ni laana by CDM
NITAJIE mtoto wa kigogo ambaye afisa kilimo/afisa ugavi kama hakuna kazi ya uafsa ugavi ni ..................... by CHADEMA.

Tangu Enzi na Enzi DUNIA nzima maisha ya watu hayalingani. Masikini wapo kila taifa. na kila nyakati.
Labda Kamanda atuambie, Je, Kanada homeless hawapo au wapo kazi zao ni zipi?
 
Sijui kuhusu ukoo wake; lakini ninavyojua ni kuwa: Tanzania (kama ilivyo nchi zote duniani) kuna wananchi wa matabaka yote: juu, kati na chini.
Nyie Ccm ndio mmejipa tabaka tawala huku watoto wa tabaka tawaliwa mnawasukumiza kwenye kazi hatarishi kama kuendesha bodaboda huku mkiwadanganya kuwa ni ajira rasmi.

Tengenezi mazingira mazuri ya vijana kujiajiri uone kama kutakua na utitiri wa bodaboda mitaani
 
Hao hao wanaosema mmelambishwa asali ndio hao hao waliokuwa wakiwacheka na kuwadhihaki mlipokuwa mnapandishwa karandinga.
[emoji817][emoji818][emoji1752]
 
Ajira rasmi ni nini? Ina vigezo gani? Then husianisha na bodaboda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…