CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

Ifike kipindi wana-jf wote lijitu likisifia polisi pamoja na ccm tuwe tunali-block maana haya majitu ndo yanatukwamisha...
 
Tunajitahidi kupiga kelele kuhusu Polisi kwani Polisi ni nini?

Polisi ni combo cha dola kwa maana nyingine ni rungu la dola nadhani tunaelewa kazi ya rungu na mara kadhaa rungu linatumika kulingana na utashi wa aliyelikamata.

Ndugu zangu tumeweka nguvu kulaumu rungu bila kuangalia aliye lishika na kwa mtizamo wangu ni lazima jitihada kubwa zifanyike kuhakikisha rungu linashikiliwa na mtu ambaye hatalitumia vibaya lakini pia muhimu zaidi ni kulitafutia sehemu maalumu pa kulihifadhi ili litumike tu linapohitajika kwa malengo yaliyokusudiwa.

Rungu hili linapatikanaje? Katiba inasema uchaguzi ukifanyika na wanachi waka chagua chama cha siasa kwa utaratibu waliojiwekea basi chama hicho pamoja na mambo mengine kitaunda rungu la dola hapo nadhani ndiyo kosa lilipoanzia.
 
Kuua au kuteka siyo tatizo ...tatizo ni kuteka kwa ajili ya haki au kuteka dhidi ya haki ...kuua damu isiyo a hatia ndiyo kosa ila kuua damu chafu yenye hatia siyo kosa ...JPM alisimama kwenye uzalendo na haki....ukiuliwa basi umeuliwa kwa haki na ukitekwa hivyo hivyo ...samia ana teka raia wema na kuwalinda mafisadi na waovu ...tumia akili achakutumia kijambio
Hakuna mtu yeyote yule mwenye haki na mamlaka juu ya uhai wake au wa mtu yeyote yule awe mwovu au mwema( sote tu wakosaji). Binadamu hana ukamilifu wa kuifikia haki katika ukamilifu wake kiasi cha kutoa uhai.

kwakujua udhaifu wa mwanadamu, wameweka mfumo wa mahakama unaofuata mchakato mrefu ilikuitafuta sehemu ya Haki na kuhukumu mtu (pengine huikosa pia). Kwa uwepo kwa rufani, na msamaha inaonyesha ilivyo ngumu kufikia Haki katika ukamilifu wake.

Sasa Haki yakuondoa Uhai unaitoa wapi? Uuaji wa Haki ndio upi?Ukigundua haukuwa sahihi unaweza kurudisha Uhai?

"Life Belongs to God only".
 
Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X.

Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho.

Asanteni wote mliopaza sauti hatimaye msaidizi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Geita amepatikana ndani ya kituo Cha Polisi Chato.Viongozi wetu wanafuatilia na tutawapa taarifa za kina baadaye Kuhusu afya yake pia tutawajulisha .Naamini hata wakina Deus Soka watapatikana tuu .

Tukutane tarehe 23 Dar Kwa Maandamano ya Amani kama watakuwa hawajapatikana !

Soma Pia:

Ccm waimeoshafeli ni kama lumsukuma mlevi tu wapinzani komaa tunawatoa Hawa wahuni
 
Magufuli alihusika kama huyu wa sasa anavyohusika,na mwisho wa ubaya ni aibu ndiyo maana Magufuli yuko motoni. Ewe Mola wetu tunaomba uje utuamulie huu ugomvi kama ulivyo fanya March 17th 2021
Bado Rais wetu, mama yetu, kipenzi cha Ccm amiri jeshi mkuu ana kuwa na ujasiri wa kuwa tetea polisi. Hizi ni aibu kuwa na rais asie sikiliza wananchi alio apa kuwa tumikia kwa mujibu wa katiba aliyo wahi kuiita ni kitabu.
Badala yake amekaa kuwatetea polisi walio poteza imani kwa Watanzania. Polisi wasio fuata sheria za nchi. Hivi ina kuwaje mna mfixha mtu siku zote hizo ni sheria gani inayo ruhusu haya?
 
Kuua au kuteka siyo tatizo ...tatizo ni kuteka kwa ajili ya haki au kuteka dhidi ya haki ...kuua damu isiyo a hatia ndiyo kosa ila kuua damu chafu yenye hatia siyo kosa ...JPM alisimama kwenye uzalendo na haki....ukiuliwa basi umeuliwa kwa haki na ukitekwa hivyo hivyo ...samia ana teka raia wema na kuwalinda mafisadi na waovu ...tumia akili achakutumia kijambio kufikiri....
Sehemu pekee ambayo mtu ''anauliwa'' kwa haki ni mahakamani. Tena kuna watu wanapinga wanasema hata mahakamani siyo haki kuua. Rais anaapa kulinda maisha ya watu wote na siyo kuua. Kama mtu ni fisadi apelekwe mahakani afungwe hata maisha na siyo kuua.
 
Chura kiziwa kaannza kusikia sasa, Upumbavu wa JPM anataka kuufanya kua kanuni ya utawala wa nch hii.
Eeh Mungu wabariki Wazungu.
 
Hakuna mtu yeyote yule mwenye haki na mamlaka juu ya uhai wake au wa mtu yeyote yule awe mwovu au mwema( sote tu wakosaji). Binadamu hana ukamilifu wa kuifikia haki katika ukamilifu wake kiasi cha kutoa uhai.

kwakujua udhaifu wa mwanadamu, wameweka mfumo wa mahakama unaofuata mchakato mrefu ilikuitafuta sehemu ya Haki na kuhukumu mtu (pengine huikosa pia). Kwa uwepo kwa rufani, na msamaha inaonyesha ilivyo ngumu kufikia Haki katika ukamilifu wake.

Sasa Haki yakuondoa Uhai unaitoa wapi? Uuaji wa Haki ndio upi?Ukigundua haukuwa sahihi unaweza kurudisha Uhai?

"Life Belongs to God only".
Akili zako zinatosha kuchambia tu ....kama unacho sema ni kweli basi nieleze kwanini nchi dunisni zinamiliki siraha za vita ? Na majeshi yenye mafunzo ya kuua wanadamu ? Nyinyi ndiyo wale wapumbavu mnao danganya kuwa zipo nchi zimefuta hukumu ya kifo bila ya kujiuliza je mbona hizo nchi bado zina majeshi na silaha na wanajeshi wake wanapewa mafunzo ya kuua wanadamu ? Tumia akili achakutumia kijambio kufikiri kama mwanamke kahaba...foolish
 
Akili zako zinatosha kuchambia tu ....kama unacho sema ni kweli basi nieleze kwanini nchi dunisni zinamiliki siraha za vita ? Na majeshi yenye mafunzo ya kuua wanadamu ? Nyinyi ndiyo wale wapumbavu mnao danganya kuwa zipo nchi zimefuta hukumu ya kifo bila ya kujiuliza je mbona hizo nchi bado zina majeshi na silaha na wanajeshi wake wanapewa mafunzo ya kuua wanadamu ? Tumia akili achakutumia kijambio kufikiri kama mwansmke kshaba...foolish
Kwa hivyo familia yako ikilengwa utafurahi na utapiga supu siku kwa ushindi?
 
Sehemu pekee ambayo mtu ''anauliwa'' kwa haki ni mahakamani. Tena kuna watu wanapinga wanasema hata mahakamani siyo haki kuua. Rais anaapa kulinda maisha ya watu wote na siyo kuua. Kama mtu ni fisadi apelekwe mahakani afungwe hata maisha na siyo kuua.
Kwa hiyo mitume na manabii wote ni wa dhalimu ....mahakama unazo zijua wewe leo hii siyo ilivyo kuwa miaka ya kale ....kwa akili zako unadhani neno haki ndiyo mahakama ? Wewe ni mpumbavu kitu pekee kinacho halalisha hukumu ya kifo ni HAKI tu Siyo mahakama maana hata mahakama inaweza kutokutoa hukumu ya haki tena ukizingatia mahakama zinaendeshwa kwa mijibu wa sheria na neno sheria haimaanishi ni haki ...kama ni mkristo kumbuka yesu alihukumiwa mahakamani chini ya hakimu pilato na hukumu haikuwa ya haki...ukiniuliza mimi mwenyewe akili timamu mahakama ni nini ? Basi ningekujibu kuwa mahakama ni maisha yako ya siku kwa siku unatakiwa kuhukumu haki ....swali je umesema kuhukumu kifo ni mahakama tu je jambazi.likiwa linataka kukuua li likupole mali zako wewe ukaliua mbona mahakama awakutii hatiani kwa kuliua jambazi lililo taka kukuua? Ndiyo nikakuambia kuwa kila mwanadamu ni hakimu ila kinacho takiwa ni kuhukumu haki kwenye huo uhakimu wako.
 
Wakati wa kikwete kulikuwa na utekaji? Ukiondoa ule mgomo mbaya wa madaktari?
Mbona wakati wa kikwete wametekwa sana watu na kuuliwa wewe ni mpumbavu sana ...kuna wafanya biashara ya madini walitekwa na polisi na kuuliwa ..ninao ushahidi wa matukio 16 yaliyo fanyika wakati wa kikwete. ...utekaji ulipungua kipindi cha JPM tu kipindi chake watu walio tekwa na kutuhumiwa serikali walikuwa wawili tu ben saa 8 na yule mwanamuziki ...licha la ben kutekwa wausika ni chadema na wapinzani wa jpm ..tukio la yule tajili mo kutekwa lilijulikana kuwa ni wahuni waliokuwa wanataka pesa tena kutoka nchi ngeni? Serikali zilizo vyunja rekodi kwa utekaji ni Serikali ya kikwete na samia ...tena utekaji wa raia wema ..kwenye hii ya samia ndiyo maisha ya raia wema yamekuwa hayana thamani kabisa kwake kuua ni kama kuchinja kuku.Ndiyo maana Samia akapeleka mswada bungeni wa kulinda vyombo vya dola kushitakiwa kwa mauaji watakayo fanya chini ya sera zake ...wewe unadhani kwanini samia alipeleka huo mswada wa kulinda vitendo viovu vinavyo fanya na serikali.
 
Kwa hivyo familia yako ikilengwa utafurahi na utapiga supu siku kwa ushindi?
Sisi tunataka haki kama ikilengwa familia yangu basi iwe ni kwa HAKI ...SERIKALI YA SAMIA INAUA WATU KINYUME NA HAKI TENA DHIDI YA UZALENDO
 
Akili zako zinatosha kuchambia tu ....kama unacho sema ni kweli basi nieleze kwanini nchi dunisni zinamiliki siraha za vita ? Na majeshi yenye mafunzo ya kuua wanadamu ? Nyinyi ndiyo wale wapumbavu mnao danganya kuwa zipo nchi zimefuta hukumu ya kifo bila ya kujiuliza je mbona hizo nchi bado zina majeshi na silaha na wanajeshi wake wanapewa mafunzo ya kuua wanadamu ? Tumia akili achakutumia kijambio kufikiri kama mwansmke kshaba...foolish
Takupa mfano: Basi (Bus) limeundwa ili lisafirishe abiria salama. ikitokea likapata ajali na kuua abiria wake Hilo halikuwa rengo wala dhamiri la muundaji wa gari. Vivyo hivyo majeshi yapo kwaajili ya kulinda watu( Yani Uhai wao) na mali zao. Hapo tunaangalia dhamiri na lengo kabla ya tendo lolote. Dhamiri ya majeshi, mafunzo yao na dhana zao ni kulinda watu wake Yaani ( Uhai) dhidi ya uvamizi na majanga ya asili kama mafuriko, Tsunami, Temeko nk. Na sikutoa Uhai kama dhamiri yako isemavyo.

Ukimiliki siraha haimaanishi ukaue utashughulikiwa na Sheria. Inayotoa ulinzi kwanza kwa Uhai.

Tz kunahukumu ya kifo we hujiulizi kwanini Marais hawasaini mtu atolewe uhai?

Hakuna mtu mwenye Haki na mamlaka dhidi ya Uhai wake mwenyewe au wa mtu mwingine zaidi ya aliyeuweka. "Life Belongs only to God" Over.
 
Wewe nilipo sema ni mpumbavu sijakusingizia ni mpumbavu haswa ...nimekuambia unajua hao wanajeshi wanafundishwa kuua watu tena unaambia piga risasi ya kichwa na ukipiga vizuri unapewa medani kuwa wewe unafaa kwa kuonyesha uwezo wa kuua mtu tena wanafundishwa jinsi ya kumpiga mtu na kumuua ...jinsi ya kutumia sumu kuua watu ?nk
 
Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X.

Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho.

Asanteni wote mliopaza sauti hatimaye msaidizi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Geita amepatikana ndani ya kituo Cha Polisi Chato.Viongozi wetu wanafuatilia na tutawapa taarifa za kina baadaye Kuhusu afya yake pia tutawajulisha .Naamini hata wakina Deus Soka watapatikana tuu .

Tukutane tarehe 23 Dar Kwa Maandamano ya Amani kama watakuwa hawajapatikana !

Soma Pia:

Makonda na Mchengelwa wako kazini
 
Wewe nilipo sema ni mpumbavu sijakusingizia ni mpumbavu haswa ...nimekuambia unajua hao wanajeshi wanafundishwa kuua watu tena unaambia piga risasi ya kichwa na ukipiga vizuri unapewa medani kuwa wewe unafaa kwa kuonyesha uwezo wa kuua mtu tena wanafundishwa jinsi ya kumpiga mtu na kumuua ...jinsi ya kutumia sumu kuua watu ?nk
LAZIMA uelewe dhamira (intention ) ya majeshi na mafunzo wanayopewa. Dhamira na nidhamu inasimamiwa na wataalamu wake na si mihemko ya anayefundishwa.

Nakukumbusha mafunzo yote, na siraha zote za kijeshi dhamira (intention) yake nikutunza Uhai kwanza.

Kufundishwa kurenga shabaha au kupewa siraha haimaanishi ukatoe Uhai ndugu. Intention ni kulinda Uhai kwakumpa mfunzwa ujasiri. Hiyo ya kuua ni dhamiri yako binafsi si ya jeshi. Ndio maana hizo siraha wanazimonitor hawakupi tu.

Hakuna mtu mwenye Haki na mamlaka juu ya Uhai wake mwenyewe au wa mtu mwingine. " Life Belongs only to God" Over.
 
Magufuli hakusingiziwa bali ndiye mwasisi wa huu ujinga wa kuteka na kuua. Magufuli alikuwa muuaji. Kosa lililofanyika ni wananchi kuogopa ku-react hivyo hiki kibibi nacho kimeiga na kwenda mbali zaidi.
Na ndiyo maana yupo jehanam anateseka
 
Wawachie na akina Soka na wengine pia na wahusika waachie ngazi na marithiano yafanyike upendo urejee Nchini.
Hao watakuwa wameshawaua, kwa mbinyo huu kama wangekuwa hai wangewaachia, na ndiyo maana ni lazima kuandamana.
 
Back
Top Bottom