Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Naamini CHADEMA Jimbo la kibamba mko wengi, nendeni kwa umoja wenu wote msindikizeni mgombea wenu akapewe fomu ya kugombea ubunge. Huyo mgombea ni wenu wananchi wanachama wa CHADEMA mliompemdekeza, chukueni Form yenu msilalie huu mchezo wa kihuni unaotaka kuchezwa.
Inaonekana huyu mkurugenzi anawajaribu, anaonekana wazi kutumika. Nendeni na viongozi wenu wote wa chama mwambie ni mgombea wake huyo hamumfahamu ni wake yeye.
Wa kuthibitisha barua na Mhuri wenu kua ni halali ni Viongozi wenu wa chama na siyo mkurugenzi.Awape hiyo barua kisha muikague kua ni halali au laah,ninyi ndio wa kuthibitisha kua imegushiwa na siyo yeye maana wanachama wa CHADEMA hawajui.
Inavyoonekana mchezo huu kuna dalili za ukaribu kati ya DED na OCD, anavyosema nendeni polisi maana yake analenga kuwapotezea muda upite mkose sifa kwa kushindwa kuchukua fomu.
Fanyeni haraka mkachukue fomu yenu, Kosa ni lake yeye asiwarushie Zigo, yeye ndiye amekosea kutoa fomu kwa mwanachama fake. Mwenye kosa ni DED siyo ninyi, aache kujitetea kizembe na kwa uongo hivyo.