ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,009
HILI TATIZO WALA LISINGETAKIWA LIWAHUSU CHADEMA, HAPA ILITAKIWA MKURUGENZI NDIO ABANWE KWA KUTAPELIWA KIRAHISI RAHISI.Ni hivi, Mkurugenzi anaangalia barua imetoka kwenye chanzo na mamlaka sahihi via hiyo barua yenyewe na sahihi husika. mkurugenzi kamtaja kiongozi wa CHADEMA kwenye ngazi ya mkoa aliyetia sahihi hiyo barua. Sasa mnataka Mkurugenzi ahakiki nini? CHADEMA wamfuate kiongozi wao wa mkoa awaeleze aliyempa barua. Sijui kama nilimsikia huyo Mkurugenzi akitaja hata jina la aliyempa hizo fomu. Sijui CHADEMA mnashindwa wapi pa kuanzia!
PIA NAFIKIRI KAMA MKURUGENZI ANA NIA YA KUTENDA HAKI KWELI ILITAKIWA WAKAE WOTE YEYE PAMOJA NA CHADEMA ILI KUJUA WANAMALIZA VIPI HILI TATIZO NA FOMU IPATIKANE, KWASABABU WATU WACHACHE HAWAWEZI KUHARIBU SUALA ZITO KAMA HILI LA UCHAGUZI KIRAHISI RAHISI HIVYO.