Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Huu ni USHAMBA wa CHADEMA. Kazi yao kulialia tu.Mpigieni simu Mkurugenzi wa NEC atoe maelekezo kwa huyo kada wa cvm. Au nendeni moja kwa moja ofisi za NECChadema mnalikosa Jimbo hivi hivi kwani toka hiyo mbaula izingue ni karibu wiki sasa na sijaona juhudi zozote za kuipata form. Yaani amekwenda pale tapeli wa CCM na barua ya kugushi na mnamuendekeza huyo kigagula,ina maana hakuna mabosi wake,yeye anachofanya ni kupoteza muda hadi ifike deadline.
Huo ni uhuni hakuna wajibu hapo. Acha kutetea ujingaMkurugenzi wa Kibamba kafanya wajibu wake.Mgombea mteule wa CHADEMA kaja na barua yenye mihuri na shaihi ya kiongozi wenu. In fact, Mkurugenzi kawatajia majina ya aliyechukua fomu na hata jina la kiongozi wenu aliyemtambulisha kwa barua husika. Mkurugenzi hafanyi kazi ya kukagua kama sahihi au mihuri ni fake au siyo fake. kazi yake ni kutoa fomu kwa mgombea kadri anavyo tambulishwa na viongozi husika. Mkurugenzi hafanyi kazi ya kuhakiki sahihi au muhuri jamani. Fateni ushauri wake wa kkulipeleka suala hili Polisi vinginevyo muda utawapita yaani deadline ya tarehe 26/8/2020 itawapita. Aheni JAZIBA on this issue.
Na nusu waende nyumbani kwake!
Sasa hapa, uhuni na ujinga UKO WAPI? Leo ni tarehe 20/8/2020 bado wiki GOMA LIFUNGWE, ninyi endekezeni kelele na kuita watu majina yasiyohusika humu JF.Huo ni uhuni hakuna wajibu hapo. Acha kutetea ujinga
Inakuwaje kama bosi ndio mpangajiChadema mnalikosa Jimbo hivi hivi kwani toka hiyo mbaula izingue ni karibu wiki sasa na sijaona juhudi zozote za kuipata form. Yaani amekwenda pale tapeli wa CCM na barua ya kugushi na mnamuendekeza huyo kigagula,ina maana hakuna mabosi wake,yeye anachofanya ni kupoteza muda hadi ifike deadline.
HAPO SASA!Inakuwaje kama bosi ndio mpangaji
Mkurugenzi wa Kibamba kafanya wajibu wake.Mgombea mteule wa CHADEMA kaja na barua yenye mihuri na shaihi ya kiongozi wenu. In fact, Mkurugenzi kawatajia majina ya aliyechukua fomu na hata jina la kiongozi wenu aliyemtambulisha kwa barua husika. Mkurugenzi hafanyi kazi ya kukagua kama sahihi au mihuri ni fake au siyo fake. kazi yake ni kutoa fomu kwa mgombea kadri anavyo tambulishwa na viongozi husika. Mkurugenzi hafanyi kazi ya kuhakiki sahihi au muhuri jamani. Fateni ushauri wake wa kkulipeleka suala hili Polisi vinginevyo muda utawapita yaani deadline ya tarehe 26/8/2020 itawapita. Aheni JAZIBA on this issue.
Chadema viongozi wana tabia ya kulala mpaka mambo yaharibikeHuu ni USHAMBA wa CHADEMA. Kazi yao kulialia tu.Mpigieni simu Mkurugenzi wa NEC atoe maelekezo kwa huyo kada wa cvm. Au nendeni moja kwa moja ofisi za NEC
Mtakuwa mumefanya maandamano haramu mutagongwa, ikitokea wote wawili wakarudisha form na wote wana barua halali itakuwaje?
Ni hivi, Mkurugenzi anaangalia barua imetoka kwenye chanzo na mamlaka sahihi via hiyo barua yenyewe na sahihi husika. mkurugenzi kamtaja kiongozi wa CHADEMA kwenye ngazi ya mkoa aliyetia sahihi hiyo barua. Sasa mnataka Mkurugenzi ahakiki nini? CHADEMA wamfuate kiongozi wao wa mkoa awaeleze aliyempa barua. Sijui kama nilimsikia huyo Mkurugenzi akitaja hata jina la aliyempa hizo fomu. Sijui CHADEMA mnashindwa wapi pa kuanzia!Sasa hiyo kazi ya kukaguwa kama barua ni fake au la ni kazi ya nani kama siyo ya Mkurugenzi anayetoa fomu. Hivi unaweza kutoa fomu kwa mtu ambaye chama kinasema hakija mteu halafu unasema wewe siyo kazi yako kuhakikisha unatoa fomu kwa mgombea aliyeteuliwa na chama. Hivo si kukataa wajibu wake Sasa kama siyo wajibu wa yeye nani sasa anayetakiwa kuhakikisha hilo. Kumbe wajinga wako wengi sana hapa Tanzania.