Uchaguzi 2020 CHADEMA Kibamba Wote kwa umoja wenu nendeni msindikizeni Mgombea wenu kuchukua fomu

HILI TATIZO WALA LISINGETAKIWA LIWAHUSU CHADEMA, HAPA ILITAKIWA MKURUGENZI NDIO ABANWE KWA KUTAPELIWA KIRAHISI RAHISI.
PIA NAFIKIRI KAMA MKURUGENZI ANA NIA YA KUTENDA HAKI KWELI ILITAKIWA WAKAE WOTE YEYE PAMOJA NA CHADEMA ILI KUJUA WANAMALIZA VIPI HILI TATIZO NA FOMU IPATIKANE, KWASABABU WATU WACHACHE HAWAWEZI KUHARIBU SUALA ZITO KAMA HILI LA UCHAGUZI KIRAHISI RAHISI HIVYO.
 
Hii ni mbinu mpya na wanatest mitambo wakiona mnazubaa basi hii mbinu itatumiwa kwa majimbo na kata nyingi kama sio zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…