CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano, lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano, lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

Kalenga-Iringa

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2012
Posts
263
Reaction score
41
Wandugu wanajamvi

Hivi hawa CHADEMA mbona nakuwa siwaelewi sasa,Kila kukicha hapa utakuta thread za mara CHADEMA wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto alitaka kuwekewa sumu./...na kadhalika nyingi tu

Napenda kuwauliza jamaa zangu, Ni lini huwa mnafanya shughuli za maendelo? manake nyie kila kukicha ni mikutano, kulia lia na vurugu, sijui huwa mnafanya kazi saa ngapi?

Jaribuni kuelimika na kuanza kupiga siasa zenye kuleta maendeleo sio vurugu tu, mjue mnapanda bange msitegemee kuja kuvuna mchicha.

Na hii tabia ya kila siku kusema kuwa serikali imepanga hikli dhidi ya CHADEMA mara kile ni utoto hebu jaribuni kukua toeni hivyo vidole puani. Kwani nyinyi ni nani mpaka serikali ihangaike na kuwazushia ujinga?

Ni jukumu letu kuwaosha CHADEMA ili kuwatoa pepo mchafu aitwaye CHADEMA
389068_410127635751480_1348691388_n.jpg

JITAMBUE
 
Hapo ndipo uwezo wako ulipofikia we mdada? Watu wa kalenga wana akili ...... We lazima utakuwa anna makinda, au una akili kama ya kwake iliyozoea kushinikizwa
 
Fuatilia historia ya ukombozi, siku zote ni maandamano,kubambikizwa kesi, kufuatiliwa na dora nk, kwa kuwa akili yako ni ndogo uwezi jua.
 
Kwani mkuu ufahamu kuwa shughuli kubwa ya maendeleo ya CHADEMA ni MAANDAMANO.

Wewe waache waendelee na hiyo tabia maana hawajui kuwa wanatengeneza jamii ya watu wanaoandamana ili kuwasilisha madai yao, ni tabia mbaya sana hii.
 
Ni rahisi sana kuwadharau CHADEMA kwa kuwa unapata neema za muda mfupi ,na wewe kusahau ni jinsi gani wajukuu na vitukuu vyako wataishije
 
Hapo ndipo uwezo wako ulipofikia we mdada? Watu wa kalenga wana akili ...... We lazima utakuwa anna makinda, au una akili kama ya kwake iliyozoea kushinikizwa
Na wewe shangazi uwezo wako umefikia wapi?
 
Wamekata tamaa...
Umeona mkuu, jamaa hawana sera kwa hiyo wameona njia pekee ya kujipatia umaarufu ni vurugu, kuua watu kufanya maandamano na kulalaamika serikali inataka kuwafanyia mbaya
Hawa jamaa ni sawa tu na wale rebels wa Syria ambao ndio wanaoongoza kwa kuua raia lakini kila kukicha wanalalamika ni serikali
 
Kwani mkuu ufahamu kuwa shughuli kubwa ya maendeleo ya CHADEMA ni MAANDAMANO.

Wewe waache waendelee na hiyo tabia maana hawajui kuwa wanatengeneza jamii ya watu wanaoandamana ili kuwasilisha madai yao, ni tabia mbaya sana hii.

Kwani kabla ya maandamano tulipata faida gani?, we kaa kimya wajukuu wako watakuta wamebakishiwa mifupa
 
mawazo ya kimaendeleo huwezi kuyapata cdm mwenye hayo mawazo ni zito ila nafasi yaa mawazo yake kutumika haipo.
 
Kaserukambwe huko....hizo Tsh 7000/= per post unaona ndio maendeleo?.....kanawe miguu ulale huko.
 
Back
Top Bottom