CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano, lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano, lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

Ni rahisi sana kuwadharau CHADEMA kwa kuwa unapata neema za muda mfupi ,na wewe kusahau ni jinsi gani wajukuu na vitukuu vyako wataishije

we wakwako watatunza na chadema wanao kuchangisha pesa kila uchao
 
mkuu nimekuja shtikua maandamano ya CDM ni kitega uchumi cha DJ na timu yake, hapo ndipo hupiga bingo za Ufadhili, bila maandamano hakuna kula bingo za wafadhili...
 
that is the way towards the road of the liberation so dont be scarred and always keep on your mind that the liberation is not easy as you think.
 
Wandugu wanajamvi

Hivi hawa chadema mbona nakuwa siwaelewi sasa,
Kila kukicha hapa utakuta thread za mara chadema wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto alitaka kuwekewa sumu./...na kadhalika nyingi tu

Napenda kuwauliza jamaa zangu, Ni lini huwa mnafanya shughuli za maendelo? manake nyie kila kukicha ni mikutano, kulia lia na vurugu, sijui huwa mnafanya kazi saa ngapi?
Jaribuni kuelimika na kuanza kupiga siasa zenye kuleta maendeleo sio vurugu tu, mjue mnapanda bange msitegemee kuja kuvuna mchicha.

Na hii tabia ya kila siku kusema kuwa serikali imepanga hikli dhidi ya chadema mara kile ni utoto hebu jaribuni kukua toeni hivyo vidole puani. Kwani nyinyi ni nani mpaka serikali ihangaike na kuwazushia ujinga?

tulia sindano imeshaingia dawa ndo inafuata utaelewa tu
 
Maendeleo yanaletwa na mipango ya serikali iliyopo madarakani, au hujui hilo? Kazi ya CHADEMA ni kutia jambajamba ili serikali ilete maendeleo maana ndiyo inakusanya kodi na kuipangia mipango.

Au kwa vile MAGAMBA mmeshindwa kuwaletea waTanzania maendeleo mnataka kuwabambikia CHADEMA kesi ya kutokuleta maendeleo? Vipi vile vipindi vya TV kuhusu kuonyesha maendeleo yaliyo letwa na MAGAMBA, vimeishia wapi? Shy Away Kalenga.
 
Kama kweli tunao watu wanaowaza kama mtoa mada, tunaweza kuchelewa kufika.,
LAKINI SIKU MOJA TUTAFIKA TU..
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekuwa ni chama pekee tangu kuundwa kwa Tanzania kuwafanya wananchi kuzitambua haki na wajibu wao kwa taifa. Chama kimefanya jitihada kubwa kuiamsha serikali ili itimize wajibu wake..
Chama kimewaandaa wananchi kuwa watu wa kutambua wajibu wao na kudai haki zao,
Chama kimekuja na sera mbadala zinazolenga kuliendeleza taifa.., sina shaka kila mtanzania amejionea..
Chama kimewaandaa watanzania kuwa wawazi na kumulika hata palipo na giza zito..
Chama kimewaamsha vijana wengi zaidi kujiunga na Siasa, jambo ambalo kwa CCM lilikua ndoto..
Chama kimeunda serikali kivuli ambayo imekuwa mwiba mchungu wa watendaji dhaifu wa serikali..
Chama kimekuwa tayar kuwaruhusu watendaji wake waaibike, wateseke, waumizwe au hata kukandamizwa kwa maslahi ya watanzania.
Maovu, kashfa, ubadhilifu na dhuluma zote za serikali zimeibuliwa na CHADEMA..
CHAMA NI CHADEMA..
Jamani, nini kingine tunataka?
 
Shughuli za maendeleo zitafanywa pale hatamu itapochukuliwa rasmi 2015..!
Vp unaona imekaribia sana??
Mtarudisha tuh pesa zetu kutoka huko USWISS mlikozificha...
 
Tatizo watu hawatambui wajibu wa serikali yao. Wanaoumia wanabebeshwa mzigo usio wao... Kazi ya wapinzani ni kutoa alternative., hebu njooni na hoja yoyote inayothibitsha kuwa CHADEMA haina alternative..
 
Wandugu wanajamvi

Hivi hawa chadema mbona nakuwa siwaelewi sasa,
Kila kukicha hapa utakuta thread za mara chadema wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto alitaka kuwekewa sumu./...na kadhalika nyingi tu

Napenda kuwauliza jamaa zangu, Ni lini huwa mnafanya shughuli za maendelo? manake nyie kila kukicha ni mikutano, kulia lia na vurugu, sijui huwa mnafanya kazi saa ngapi?
Jaribuni kuelimika na kuanza kupiga siasa zenye kuleta maendeleo sio vurugu tu, mjue mnapanda bange msitegemee kuja kuvuna mchicha.

Na hii tabia ya kila siku kusema kuwa serikali imepanga hikli dhidi ya chadema mara kile ni utoto hebu jaribuni kukua toeni hivyo vidole puani. Kwani nyinyi ni nani mpaka serikali ihangaike na kuwazushia ujinga?

Nenda kafanye ajust kwenye mishipa ya ufahamu ili uwe mwelewa na usiwe mjinga kila sku,kama chadema hawafanyi maendereo kwa sababu unazozitaja ccm yako tangu uhuru hadi leo haina vurugu mbona hujauliza ama kulaani kwanini hadi leo madawati hakuna mashuleni?maabara hakuna,madawa hakuna,viwanda hakuna,masoko ya uhakika kwa wakulima hakuna,uchumi wa hovyo kila kukicha na mengine mengi tu machafu,kwa vile we ni mke wa mtu usiyejishughurisha na lolote kaz ni kukaa kibalazani na kuandka utumbo kama huu nikupe pole,jaribu kushirikisha hata mme wako wenda akakushauri sku moja.
 
na mauaji ya wanavyuo yalite ukombozi kwenu

We tetea mafisadi lakini naamini katika ukoo wako angalau mtu mmoja anakunywa maji machafu ya kisima kwa sababu ya vijisent vilivyoibiwa na Chenge
 
Back
Top Bottom