Kalenga-Iringa
JF-Expert Member
- Nov 4, 2012
- 263
- 41
Na wewe shangazi uwezo wako umefikia wapi?Hapo ndipo uwezo wako ulipofikia we mdada? Watu wa kalenga wana akili ...... We lazima utakuwa anna makinda, au una akili kama ya kwake iliyozoea kushinikizwa
Umeona mkuu, jamaa hawana sera kwa hiyo wameona njia pekee ya kujipatia umaarufu ni vurugu, kuua watu kufanya maandamano na kulalaamika serikali inataka kuwafanyia mbayaWamekata tamaa...
Kwani mkuu ufahamu kuwa shughuli kubwa ya maendeleo ya CHADEMA ni MAANDAMANO.
Wewe waache waendelee na hiyo tabia maana hawajui kuwa wanatengeneza jamii ya watu wanaoandamana ili kuwasilisha madai yao, ni tabia mbaya sana hii.
Wamekata tamaa...
Wamekata tamaa...
Fuatilia historia ya ukombozi, siku zote ni maandamano,kubambikizwa kesi, kufuatiliwa na dora nk, kwa kuwa akili yako ni ndogo uwezi jua.