Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,219
Ni rahisi sana kuwadharau CHADEMA kwa kuwa unapata neema za muda mfupi ,na wewe kusahau ni jinsi gani wajukuu na vitukuu vyako wataishije
Wandugu wanajamvi
Hivi hawa chadema mbona nakuwa siwaelewi sasa,
Kila kukicha hapa utakuta thread za mara chadema wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto alitaka kuwekewa sumu./...na kadhalika nyingi tu
Napenda kuwauliza jamaa zangu, Ni lini huwa mnafanya shughuli za maendelo? manake nyie kila kukicha ni mikutano, kulia lia na vurugu, sijui huwa mnafanya kazi saa ngapi?
Jaribuni kuelimika na kuanza kupiga siasa zenye kuleta maendeleo sio vurugu tu, mjue mnapanda bange msitegemee kuja kuvuna mchicha.
Na hii tabia ya kila siku kusema kuwa serikali imepanga hikli dhidi ya chadema mara kile ni utoto hebu jaribuni kukua toeni hivyo vidole puani. Kwani nyinyi ni nani mpaka serikali ihangaike na kuwazushia ujinga?

Maendeleo unayajua wewe?hao ccm wamekupa maendeleo gani..
Na wewe shangazi uwezo wako umefikia wapi?
Bila shaka yoyote Kalenga-Iringa UNASERUKAMBWA!
Kwani kabla ya maandamano tulipata faida gani?, we kaa kimya wajukuu wako watakuta wamebakishiwa mifupa
2tacha hadi 2hakikishe Tanzania ipo mikononi mwa wanachedema na sio ccm
Kipi bora, kukaa kimya watu waibe bilioni moja na kuiita vijisent au kuandamana?
Utaacha kukata tamaa wakati mafisadi wa CCM wanakula nchi ya wakulima masikini?
Wandugu wanajamvi
Hivi hawa chadema mbona nakuwa siwaelewi sasa,
Kila kukicha hapa utakuta thread za mara chadema wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto alitaka kuwekewa sumu./...na kadhalika nyingi tu
Napenda kuwauliza jamaa zangu, Ni lini huwa mnafanya shughuli za maendelo? manake nyie kila kukicha ni mikutano, kulia lia na vurugu, sijui huwa mnafanya kazi saa ngapi?
Jaribuni kuelimika na kuanza kupiga siasa zenye kuleta maendeleo sio vurugu tu, mjue mnapanda bange msitegemee kuja kuvuna mchicha.
Na hii tabia ya kila siku kusema kuwa serikali imepanga hikli dhidi ya chadema mara kile ni utoto hebu jaribuni kukua toeni hivyo vidole puani. Kwani nyinyi ni nani mpaka serikali ihangaike na kuwazushia ujinga?
na mauaji ya wanavyuo yalite ukombozi kwenu
shamba lako lipo kariakoo