rwenge
Member
- Aug 15, 2014
- 44
- 22
Ni ukweli mchungu kwa chama tawala na wote wanufaikao na mfumo wa chama hiki kuwa upinzani sasa umekomaaa na unakila sifa ya kuaminiwa na kupewa nchi ili kutuongoza ukweli huu unaonekana kwa jinsi wanavyopangilia mambo yao na mikakati yao mikubwa kwa ukombozi wa Taifa ni muhim sana kuwa na vyama mbadala vyenye nguvu kwa mustakabali wa Taifa letu siasa in uadui wala ugomvi