CHADEMA kimekua sasa kinaweza kupewa dola

CHADEMA kimekua sasa kinaweza kupewa dola

hakika chadema inastahili kuchukua inchi!bila cdm tanzania inapotea kwenye uso wa dunia.
 
Kwa kuambiwa tu na Sultani wenu kugoma na kuandamana mmeshalainika, sasa andamaneni muone mziki mlioandaliwa ndio mtajua. Upinzani unakomaa kwa mtu kushinda kwa 97%?? hizi vitu si ndio vya kina Sadam ndio wanashindaga kwa ushindi huu, labda muwape dola za zimbabwe zitawatosha.

Ni ukweli mchungu kwa chama tawala na wote wanufaikao na mfumo wa chama hiki kuwa upinzani sasa umekomaaa na unakila sifa ya kuaminiwa na kupewa nchi ili kutuongoza ukweli huu unaonekana kwa jinsi wanavyopangilia mambo yao na mikakati yao mikubwa kwa ukombozi wa Taifa ni muhim sana kuwa na vyama mbadala vyenye nguvu kwa mustakabali wa Taifa letu siasa in uadui wala ugomvi
 
Nchi inaongozwa na chama na si NGO ya Wachagga mkuu.
 
Wassira alitangaza kufa kwa Chadema ndani ya mwaka 2013 baada ya kumpatia Zitto pesa nyingi na kuamini tayari ameishafanya kazi nzuri ya kuisambaratisha Chadema. Kumbe Zitto alikuwa anawagawia kiduchu vijana wake kila Kitillya na fungu kubwa alilichia mfukoni mwake. Matokeo yake, Chadema imezidi kushamiri badala ya kufa.

Wassira anasubiri nini kujiuzuru?

Tiba
 
waulize viongozi wako, kwanini wanatumia pesa nyingi kukuhujumu cdm, pia kwanini wamejigeuza watabiri kuwa itakufa, aya na jana mbowe karudi kazi mnayo.

Mnahujumiwa wapi? Ivi viongozi wenu wakudumu wanapoamua kubadili vipengele vya katiba kinyemela hiyo ni hujuma ya CCM? Viongozi wenu kukosa uadilifu nayo ni hujuma ya CCM?
 
Dola ya marekani aka usd....maana kama dola ya nchi ni ndoto za mchana hakuna wa kuug'oa mbuyu...chama giant Africa.
 
cdm bado sana kuaminiwa hadi wapewe dola. Chama kimewashnda kuendesha itakuwaje dola?
 
cdm bado sana kuaminiwa hadi wapewe dola. Chama kimewashnda kuendesha itakuwaje dola?

Unajua unachoandika au unafuata mkumbo tu? Viongozi gani walioshindwa Chama chao? Si wale wa Chama tawala? Mpaka Mangula nae kashuhudia kuwa viongozi wa CHADEMA wanajua wanachofanya, wewe unajifariji nyuma ya keyboard.
 
Kwa yale mazingaombwe ya uchaguzi? Wagombea wire wanaenguliwa anabaki mmoja ndio kukomaa huko? Hongereni zenu.
 
dola gani?
bitcoins-opportunity-zimbabwe.jpg
 
Back
Top Bottom