CHADEMA kimekua sasa kinaweza kupewa dola

CHADEMA kimekua sasa kinaweza kupewa dola

Hivi inapewa dola ukawa au chadema maana kama vile muungano wa ukawa umewekwa pembeni
 
Mnahujumiwa wapi? Ivi viongozi wenu wakudumu wanapoamua kubadili vipengele vya katiba kinyemela hiyo ni hujuma ya CCM? Viongozi wenu kukosa uadilifu nayo ni hujuma ya CCM?
Toka nenda kawaambie watz haya unayosema km hawajakuzalisha. Pimbi ww
 
Kuna mijitu inachangia kama haina vichwa wala ubongo. Endeleeni kuamini gunia lenu lina mahindi kumbe chini limetoboka na mahindi yatakuwa hakuna baada ya kuchukuliwa na wajanja mtakuja kustuka kumbe ni gunia la kokoto.
Kwako:msalani,laki si pesa,ritz,habari ya mujini,simiyu yetu, mjepo,chama,thatha etc
 
Ni ukweli mchungu kwa chama tawala na wote wanufaikao na mfumo wa chama hiki kuwa upinzani sasa umekomaaa na unakila sifa ya kuaminiwa na kupewa nchi ili kutuongoza ukweli huu unaonekana kwa jinsi wanavyopangilia mambo yao na mikakati yao mikubwa kwa ukombozi wa Taifa ni muhim sana kuwa na vyama mbadala vyenye nguvu kwa mustakabali wa Taifa letu siasa in uadui wala ugomvi

hatutaki shida bora ccm yetu
 
Kwakweli hofu ni kuwa chama kama NCCR chaweza kupotea ktk Raman siku za usoni ikiwa ukawa utakuwa hiv unavyokwenda
 
Ni ukweli mchungu kwa chama tawala na wote wanufaikao na mfumo wa chama hiki kuwa upinzani sasa umekomaaa na unakila sifa ya kuaminiwa na kupewa nchi ili kutuongoza ukweli huu unaonekana kwa jinsi wanavyopangilia mambo yao na mikakati yao mikubwa kwa ukombozi wa Taifa ni muhim sana kuwa na vyama mbadala vyenye nguvu kwa mustakabali wa Taifa letu siasa in uadui wala ugomvi
tatizo mnadhani DOLA ni SACCOS ambayo hata mjinga na mumiani anaweza kuiendesha.
tunapenda mkijidanganya
tunapenda mkibweteka
tunapenda MBWA wakitikisa mikia kwa mbwembwe na shukrani pindi watupiwapo makombo na mifupa
tunapenda kuona MENDE wakirukaruka na kushambulia kinyesi na mabaki a vyakula
tunapenda kuona mkigongeana glass kwa kujipongeza kwa kufanikiwa KUMPIGA NGUMI YA USO mpinzani wako aliyekupiga kwa KNOCK OUT.
DOGS WILL NEVER SET FOOT IN STATE HOUSE. NA SIO KWA WIZI WALA UCHAKACHUZI BALI KWA IDADI HALAI YA KURA
 
Ukweli lazima tuuseme kwa matokeo ya sasa serikal za mitaa chadema anzen kupiga jaramba kuingia magogoni
 
Kwa mwenyekiti kutiwa hatiani kwa kuvunja sheria za nchi? na Katibu kuchumbia mke wa mtu mwingine? Kukua ni kuzuia mawazo tofauti na ya wahafidhina na ni dhambi kutangaza nia kushindana na viongozi! na washabiki wao ndio nyinyi humu mtu akiwa na mawazo tofauti mnaporomosha mat-usi.

Dola mtapewa ila ya kimarekani ya kizimbambwe nouma.
 
Back
Top Bottom